Wale mliooa je mnashughulikiaje hili tatizo

Wale mliooa je mnashughulikiaje hili tatizo

Si
Lazima kuna sababu tu ya yeye kukataa ni mkeo unamjua hebu ongea kwa kweli labda kina vitu umemkwaza ila hujaweka mazingira mazuri ya yeye kumwambia hivyo unakuta kipo moyoni mwake kinamuuma so zungumza nae kwa utaratibu.
Pia kama ni mjamzito miezi ya mwanzoni kwa wanawake wengi hamu inapotea so mvumilie

Kama ni kajeuri kake tu uvivu sijui mwambie naomba nioe wa pili msaidiane majukumu kama Mwislamu umsikie
Sijamuudhi wala, twaongea mengine yote freshi ipa ikifikia hapo tu shida...analeta mapozi kibao hadi anakera, anaweza anzisha hata valangati ilimradi tu.
 
Haya mambo ni maelewano zaidi, ila nanyi wake msikomae sana kunyima ingawa kuna ME wanapenda sana papuchi kama mwalimu wangu wa o-level yeye alikuwa anaaga kabisa darasani anasema "naenda kumsalimia mama yenu" saa4 anaenda, saa7 anaenda, jioni anaenda na bado cha usiku na cha asubuhi,kwa hali kama hiyo lazima uwekewe ratiba kwani unaweza "itoboa" papuchi
Hii ni kuendana na kasi ya mkulu, alisema tufyatue elimu bureee..no offence
 
Na nyie wanaume mnaorudi mnajifanya mmechoka kila siku, muache hizo tabia. . Mnagawa kwa malaya zenu, mtuonee huruma na wake zenu

Sisi tumechoka kuwabaka, maana inabidi tusubirie mmelala tuchezee dushe afu tukalie [emoji57]
Hahahahah kibaka wa kike weee..
 
Hongera yako aise !

Yaani mimi utafikiri haka kapost imekaandika mimi yaani ... au aliyeandika naishi naye vile.

Mpaka hako kamsemo eti tutafanya baadae
Hahah pole mkuu, haya mapicha picha ni kwetu sote!
 
Na nyie wanaume mnaorudi mnajifanya mmechoka kila siku, muache hizo tabia. . Mnagawa kwa malaya zenu, mtuonee huruma na wake zenu

Sisi tumechoka kuwabaka, maana inabidi tusubirie mmelala tuchezee dushe afu tukalie [emoji57]
uuh! penye miti hamna wajenzi kumbe
 
Unalalamika nini sasa? Kwani papuchi anayo mkeo tuu?? Mtaani zimejaa hazina watumiaji. Akikunyima ajue anatengeneza soko kwa ambao hawajabahatika kuolewa.
 
Dawa yake lala mapema sana...halafu amka saa. Nane usiku....atakuwa hoi kwa usingizi..ndy halali hadi asubuhi...wewe msumbuwe tu....akitoa mkono...wewe weka...Ukizoea hivyo....lazima upewe tu...kwa kujuwa hapa akikunyima...usiku hatolala..utamsumbuwa
 
Unapoteza tu kwanza wala hutakiwi kuonyesha umemaindi,ukitingisha ukiona haijajaa nawe geuka upande WA pili chapa Usingizi ataitafuta tu mwenyewe..hata siku nyingine mbona migomo myepesi kabisa hiyo.
 
Dawa yake lala mapema sana...halafu amka saa. Nane usiku....atakuwa hoi kwa usingizi..ndy halali hadi asubuhi...wewe msumbuwe tu....akitoa mkono...wewe weka...Ukizoea hivyo....lazima upewe tu...kwa kujuwa hapa akikunyima...usiku hatolala..utamsumbuwa
Kazi kweli kweli
 
Unapotezea na wewe unalala. Ni vizuri zaidi kufanya mkiwa wote mnajisikia kufanya hivyo.
Utajuaje kama siku fulani atakuwa tayari? Mwanamke wa kukunyima tendo la ndoa bila sababu ya msingi anakosa sifa za kuwa mke wa mtu. Biblia imesisitiza kwa wale waliooana "msinyimane isipokuwa mmepatana Ili mpate faragha ya kusali" halafu mwanamke hana mamlaka juu ya mwili wake bali mumewe na mume hana mamlaka juu ya mwili wake bali mkewe. Maana yake mwenzako akihitaji huna mamlaka ya kumnyima! Vinginevyo utasababisha madhara makubwa kwenye ndoa yako.
 
La kufanya na wewe jifanye huna muda naye. Hakuna kitu inawaumaga sana kama kuwafanyia hivi. Ukimuendekeza ndo itakuwa sehemu ya maisha yenu kimahusiano.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom