Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,740
- 76,381
Kama umeowa kisheria na hamna ugomvi au mgogoro wowote wa kindoa basi mwanamke hawezi kukufanyia hivyo na akithubutu kufanya hivyo basi we mkimbie ikiwezekana kalale nje kabisa, au waite wazee na uwaambie kuhusu tabia yake ya kukunyia unyumba na kukukosesha stara ila kama hujaoa kisheria au ndoa inayotambulika basi asikupe tu!