Wale mliooa je mnashughulikiaje hili tatizo

Wale mliooa je mnashughulikiaje hili tatizo

Asa kama mtu ukianza mshika shika tu anakutoa mikono anaona kama kinyaa. Huo moyo wa kubembeleza unatoka wapi?

Utakuwa ulimboa toka asubuhi au siku nyingi yaani lazima kuna sababu mwanamke anaeyependwa, kumjali na hana stress za maisha hawezi kukubania labda awe mgonjwa jitahidi kujua tatizo ni nini. Badilisheni style hata mazingira mnayofanyia mapenzi sehemu moja au style moja nayo inachosha
 
Dawa yao usijifanye unapenda sana ndo maana wanalinga,mi wangu mpaka aniombe ndo nakubaligi
 
Acheni utani yaani anisogelee vizuri anikumbatie ratio 1:1 kutamka neno sitaki naanzaje, maana hata kama njmelala akijifanya kama anaiba najikausha afike kabisa nimpokee kwa bashasha.
 
Daah hadi nimetabasamu mpendwa. Mungu azidi kuwatunza, kila siku mpendane zaidi ya jana. Negativity for whaaaaat[emoji78] [emoji78]
Najua unanisema mie. Naomba nikueleze kuwa katika ndoa lazima kitanda kiheshimiwe. Mwanaume au mke anayejitambua hata kama wamekatana mapanga Lazima akifika kitandani asahau yote amkaribishe mwenzake. Ndoa hiyo haiwezi Vunjika. Ila wenzetu mnatumia papuchi kama fimbo what is very bad
 
Kwa sijawahi kuhisi kunyimwa. Zaidi kuna siku huwa naombwa kabisa.Pole sana
 
Kifupi hujui kumwandaa mkeo we ni panua niingize tu ndo maana hapati nyege. Hamu za wanawake ziko mbali kutokana na mambo mengi yanayowakabili katika familia na katika jamii.
Ndo mana inatakiwa kuweka nae uhusiano wa karibu na kirafiki, ongea nae story za X kama unavyofanya kwa malaya wako au marafiki zako acheke na mwili u relax atakupa kila muda ukitaka.
 
Najua unanisema mie. Naomba nikueleze kuwa katika ndoa lazima kitanda kiheshimiwe. Mwanaume au mke anayejitambua hata kama wamekatana mapanga Lazima akifika kitandani asahau yote amkaribishe mwenzake. Ndoa hiyo haiwezi Vunjika. Ila wenzetu mnatumia papuchi kama fimbo what is very bad
Na hapo ndo mnapofail, kwa Mwanamke sex ni hisia zaidi. Yani Umetoka huko unafikia kumpa makofi mwenzako au umerudi asubuhi na domo lako limechacha kwa pombe + ulovu afu unategemea uingie chumbani umshike mkeo arespond vizuri khaaa. Sex ni finishing bana, wekeni mambo yote sawa kwanza then mtapeana kwa raha. Treatianeni vizuri na heshimianeni then uone kama mtakuwa na ugomvi kitandani. Sex sio kudumbukiziana tu bana unless unataka mwenzako afanye kukuridhisha wewe tu pheeew,
 
Sio kunyimwa bhana...
We mtu humuandai mkeo, ukishakuwa na ashki tu unamrukia halafu Unataka ushirikiano.
Tulia, anza maongezi na mkeo, mwambie unavyompenda, mbusu mchezee vyema kila kona ili nae aamshe hisia. Ukifika hapo anaanzaje sasa Kukataa jamani..... Jifunzeni kuwalegeza ndipo muwakunje bhana!!! Acha kutumia nguvu kwenye zile mambo......
It doesn't work always
 
Habari wana,
Kuna kale katabia ka wanawake kuleta usumbufu wa kutoa papuchi kwa ME wao bila sababu ya msingi, sijui ni uvivu ama nini.

Unakutana na jibu mimi sijiskii kufanya...mara tutafanya baadae, halafu unapewa mgongo inakuwa kama unalazimisha kila wakati, huwa mnasuluhishaje hili kwa njia za amani?

Na wale wanawake wenye tabia ya hivyo kubania kidude kwa kuona kupigwa pipe kama usumbufu ilihali ni haki ya ME, huwa mnafikiriaga nini vichwani mwenu?
Hii inaweza kuwa sababu inayoongoza kuvunja ndoa za wanawake wengi kwa sasa.Wanaume wasio na subira huona suluhisho ni kuchepuka na hapo ndo chanzo cha mgogoro hasa mchepuko utakapoamua kuitumia vizuri golden chance.
 
Ukiona hayo yote basi kuna mambo 2,may be huleti mahitaji yote,au kuna MTU anampa city vikubwa au hujui mbinu ya kukabili papuchi.unatqangatwanga tuu.mwisho anakulinganisha na mqingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom