Wale mliooa je mnashughulikiaje hili tatizo

Wale mliooa je mnashughulikiaje hili tatizo

sababu zinaeza kua;haridhishwi anapofanya tendo /au kuchoka majukumu mengi/au maudhi mengi akili haijatulia
Kuridhishwa anaridhika sana tu. Hogo ni oversize ni mtu wangu muda mrefu na nimekuwa nampeleka mistari kwa round chache tu. Hapo hapana shida
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mke wangu nampenda balaa nayeye ananikubali kwelikweli alafu mtu anataka niamini kwamba mbeleni ntakuja kunyimwa? Aaah wapi siwezi kujenga fikra zangu in a negative way.
Najua kukosana kupo tu cha msingi kusamehana, mtu kama mkeo anakunyima unyuma kaa nae polepole muulize tatizo liko wapi maana unaweza kuta mwanaume unafanya mambo ya kumuudhi mkeo na anakununia na kukunyima unyumba ila wewe hujui pengine mtu unarudi night kali mkeo anakununia lazima, mara unapenda kuwachekea marafiki zake wa kike lazima ahisi vibaya[emoji23]

Njia ya kupata papuchi na ukaifurahia ni kuanzisha mazungumzo tu maana katika mambo unayotakiwa kua mpole moja wapo ni kuomba papuchi.

Hata kama wewe hujui kumbembeleza asiee jifunzeee ile kitu bila upole na ushirikiano wa mkeo hauta enjoy ni sawa na kubaka[emoji23] [emoji23]
Daah hadi nimetabasamu mpendwa. Mungu azidi kuwatunza, kila siku mpendane zaidi ya jana. Negativity for whaaaaat[emoji78] [emoji78]
 
Huyu anapigwa nje mwana,,pole kwa kuchelewa kujua
 
Papuchi tamu kuliko ni ile unayopewa kwa hiyari(full kubembelezana kuombana na kupeana) kwa roho safi inanoga hadi unatamani kugandiana
 
Sio kunyimwa bhana...
We mtu humuandai mkeo, ukishakuwa na ashki tu unamrukia halafu Unataka ushirikiano.
Tulia, anza maongezi na mkeo, mwambie unavyompenda, mbusu mchezee vyema kila kona ili nae aamshe hisia. Ukifika hapo anaanzaje sasa Kukataa jamani..... Jifunzeni kuwalegeza ndipo muwakunje bhana!!! Acha kutumia nguvu kwenye zile mambo......
Kwani wajibu uliomtoa kwao haujui?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hili limenichekesha sana leo.
Kumbe kuna wanaume wenzangu mnanyimwa hizo kitu kiukweli ukweli? Mi nilijua ni story za utani.

Daah sasa mimi wife hajawahi kuninyima labda kama yuko P
Sijui cha kufanya endapo siku moja atakuja kuninyima[emoji23] [emoji23]
Nahisi siku hiyo nitakua mnyongeee maana lile jambo halitaki nguvu wala kulazimishana
Mimi nilifukuza Demu saa tisa Za usiku Kwa ajili ya ujinga huo, sometime hawa wanawake wanajua na makusudi sana
 
Yani kuna watu hata wake zao wawafanyie jema lipi as long as ndoa haijafikisha miaka 10, basi hatoappreciate. Yani watu wanaishi na negativity kibao, Oooh subiria mfikishe miaka fulani. Kuna miaka 10 bila kupitisha siku na miezi? Mwaya furahia ndoa yako, hao wanaokaa ndoani kuvizia wake zao wamess up after miaka kadhaa, shauri zaoooo
Yaani linakutoka jibu "sijisikii"
Kweeli?
Huoni tatizo hapo?

Miaka iliyotajwa inaeleza kuwa mnakuwa mmezoeana saana kiasi kwamba matamanio yanapungua.

Lakini je mwanamke haoni fahari mumewe kumtamani?

Labda kama anatafuta kampuni ya ulinzi imlindie hiyo ndoa.
 
akikuletea zengwe mwambie "poa" halaf humgusi mpaka akuguse wewe... ila unaanzisha katabia mbaya ka kuwa na mchepuko nje!!!
atatia adabu tu!
 
Acha unyonge basi, Ongeza wanawake hata wawili mkuu. Akijua wapo wengi atakupa kila siku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom