Wakuu Nimekata Shauri, Sinywi Pombe kali tena

Wakuu Nimekata Shauri, Sinywi Pombe kali tena

Nimefikia uamuzi huo baada ya kufuatlia na kuona vijana wengi wakiumwa ugonjwa wa figo.. ninao wajua na maarufu tunaowajua wengi...

Pia nitajitahidi sana unywaji wa beer🍻 kwa kiwango na mara chache.

Jamii inaangamia tuchukue tahadhali kwa wakati.

Mwenyezi awaongoze nanyi wenzangu wengineo.

N.B: Sijaacha Pombe
Yaani wewe kabisa uache visungura? Si utaugua kwa kiu gentleman na sio figo?

kiungwana,
walevi wanaojitambua wanasemaga hivi,
kwasasa nimepumzika kunywa pombe kwa muda, kwasababu 1,2,3...

Kusema umeacha pombe ni unafiki ambao huumbua wengi sana baadae anaporejea ulevi🐒
 
Wewe kilaza wa lumumba ungesoma uzi hadi mwisho kwenye N.B
 
Kuchukua tahadhari ni muhimu sana, ila omba tu Mungu akujaalie afya njema haya matatizo ya figo sijui sometimes yana ambukiza (Grandpa yangu alikufa kwa figo kufeli), mi nimeugua matatizo ya figo 2 times na nmelazwa rufaa hospital kubwa tu hapa nchini kupata huduma, figo moja ilikua multifunctional miaka tofauti ila now nashukuru MUNGU naendelea salama ni miaka 5 sasa imepita..

NB: Sinywi pombe na sijawahi hata kuonja toka kuzaliwa na niko 30's, wala situmii kilevi chochote kile.
Sahihi ndugu..
Mungu akusaidie hayo matatizo yasikurudie tena
 
Shituka.
Wenzenu wanaumwa ngoma madawa yamezidi mwilini wanakuja kusingizia pombe.

Mbona wazee wetu walikuwa hawaumwi.

Muhimu ukishalewa usit*mbe hovyo utapata ngoma....
Wazee walikuwa wanakunywa kwa kiasi vijana sasahv wanakesha hadi asubuhi
 
Nimefikia uamuzi huo baada ya kufuatlia na kuona vijana wengi wakiumwa ugonjwa wa figo.. ninao wajua na maarufu tunaowajua wengi...

Pia nitajitahidi sana unywaji wa beer🍻 kwa kiwango na mara chache.

Jamii inaangamia tuchukue tahadhali kwa wakati.

Mwenyezi awaongoze nanyi wenzangu wengineo.

N.B: Sijaacha Pombe
Hata Konyagi😋?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom