felakuti
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 322
- 743
Wasaalam!!!!
Nakaa na kutafakari kwa kina, kwa mnywa pombe haswa vijana na wengineo hata watu wazima, chukulia hizi pombe kali...
Hivi umeshawahi kutafakari kua wewe unaingia kwa bashasha sehem ya burudani ama wapi unaagiza kwa bashasha na umwamba mwingi pombe kali na unachaganya na soda sjui, matokeo ya unywaji huo unaenda kuunguza maini yako na kukusababishia matatizo ya figo, ila kwa tajiri mwenye kiwanda ama hio kampuni anaendelea kua tajiri mkubwa, anajenga majengo ya hatari na magari ya kifahari, pesa ya kutosha iko benki..
Ila wewe huku unaangamia, mbaya zaid unakuta hata hakujui maskin ya Mungu wakat unaanza kwenda hospitali kufanya dialysis , tumbo limevimba, yeye huku anakula maisha, mbaya zaid yeye hatumii, yeye anakunya maji tu na kufanya mazoezi, mwisho wa siku unapata magonjwa kama kansa ya utumbo n.k, wewe ukiwa unakata roho yeye wala anakula.maisha bado. Ukiwaona huko.mitandaoni mixer kutoa shauri nasaha za maisha na jinsi ya kufanikiwa.
Kaa tafakari.
ACHA POMBE..