Wakuu Nimekata Shauri, Sinywi Pombe kali tena

Wakuu Nimekata Shauri, Sinywi Pombe kali tena

Wagonjwa wa ukimwi ndio wanaongoza kuwa na matatizo ya figo ,vitu vitano vinavyoongoza kusababisha matatizo ya figo pombe haipo.
Pombe inapeleka madhara moja kwa moja kwenye ini (liver cirrhosis) ukitoa hepatitis.
Mpaka uje uumwe hiyo liver cirrhosis ni kipengele sana

The Bitter Truth.

Truth Hurts.

The Naked Truth.

Matumizi ya muda mrefu ya baadhi ya madawa yanaweza kuathiri figo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom