Hapo sawaBeer mkuu naendelea kunywa
Pombe kali za bongo nyingi ni "feki" zinatengenezwa uchochoroni wanatia kwenye hivyo vifungashio brand maarufu.Figo na pombe kali havihusiani.......
Hivi mbona huwa hatuwaoni mahakamaniLakini si konyagi wanatengenea miwa🤔
Tatizo yanatoka vichochoroni huko!View attachment 3588931
Duuh!Sababu kubwa zaidi za kufeli Kwa figo ni Kisukari na Shinikizo la juu la damu (high blood sugar), lazima ujitahidi kuzuia Kisukari na HBS...unafikiri kuna kutoboa hapo, vyakula tunavyokula na maisha tunayoishi humu mijini ni wachache Sana ambao hawana high blood pressure na wengi hawajui kuwa wanayo, si pombe pekee ndo kisababishi.
Sema mtu anakunywa konyagi Bapa na vitumbua, huyu hatuna msaada naye.
jasiri haachi asili gentleman 🐒Mngese ww sijui kuendesha pikipiki ila gari nimeanza endesha nikiwa form 2
P.wahed
FakePombe kali nyingi ni feeeeeki
true or correct?🐒In your sense