RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,849
- 137,090
Alcohol and Your Kidneys
Drinking alcohol can harm kidneys, leading to high blood pressure, dehydration, and liver disease. Limit alcohol intake to protect kidney health.
Lakini si konyagi wanatengenea miwa🤔Makonyagi ma kvant mengi ni taka taka tu ni uamuzi mzuri wa kuachana na hizo sumu
Punyeto??? Mbaga Jr uko hatarini kuugua figo mwanetu🙆🏽♀️Mwanzo mzuri
itafika pahala utaacha kabisa...
mie nilikuwa cha P...lakini nashukuru Mungu.
NB
kwa suala la figo si pombe tu,,hata vyakula na baadhi ya vinywaji ie Energy drinks,chumvi viungo mafuta nk pia punyetoh
Figo na pombe kali havihusiani.......
Wanapenda mno kujiamlia mambo madaktare wa hii forum🤦🏽♀️Wapiga nyeto tunaonewa Wivu Sana aisee, Sasa nyeto na magonjwa ya figo wap na wap, wamechoka kusingizia inapoteza nguvu za kiume wamehamia kwenye figo 😂
Kuchukua tahadhari ni muhimu sana, ila omba tu Mungu akujaalie afya njema haya matatizo ya figo sijui sometimes yana ambukiza (Grandpa yangu alikufa kwa figo kufeli), mi nimeugua matatizo ya figo 2 times na nmelazwa rufaa hospital kubwa tu hapa nchini kupata huduma, figo moja ilikua multifunctional miaka tofauti ila now nashukuru MUNGU naendelea salama ni miaka 5 sasa imepita..Nimefikia uamuzi huo baada ya kufuatlia na kuona vijana wengi wakiumwa ugonjwa wa figo.. ninao wajua na maarufu tunaowajua wengi...
Pia nitajitahidi sana unywaji wa beer🍻 kwa kiwango na mara chache.
Jamii inaangamia tuchukue tahadhali kwa wakati.
Mwenyezi awaongoze nanyi wenzangu wengineo.
N.B: Sijaacha Pombe
Kila daktari na utapeli wakeWanapenda mno kujiamlia mambo madaktare wa hii forum🤦🏽♀️
Nmeshangaa kuona walevi wanajitetea eti pombe haiharibu Figo,,,![]()
Alcohol and Your Kidneys
Drinking alcohol can harm kidneys, leading to high blood pressure, dehydration, and liver disease. Limit alcohol intake to protect kidney health.www.kidney.org
Uache na Energy Drink mkuuNimefikia uamuzi huo baada ya kufuatlia na kuona vijana wengi wakiumwa ugonjwa wa figo.. ninao wajua na maarufu tunaowajua wengi...
Pia nitajitahidi sana unywaji wa beer🍻 kwa kiwango na mara chache.
Jamii inaangamia tuchukue tahadhali kwa wakati.
Mwenyezi awaongoze nanyi wenzangu wengineo.
N.B: Sijaacha Pombe
Hizi nazo Energy Drinks ndiyo zina haribu sasa kimya kimya watu hawajui tu, mbaya zaidi wana changanya kwenye pombe au wanaweka Panadol sijui..Uache na Energy Drink mkuu
Pombe kali kuchanganya na energy....vipi hapoUzushi huu...
Pombe haiuwi figo acheni hiz narative...
Hmm wengine mpaka tukate 5ltrs ndio roho isuuzike🌝Kunywa Dry Red Wine 🍷 Kwa Afya Tena Glass 1
MkuuHmm wengine mpaka tukate 5ltrs ndio roho isuuzike🌝