Mkuu pole sana hapo ametingisha kibiriti na kukuona anakumudu au anakuweza sifa ya mume unatakiwa uwe hautabiriki. Chakufanya mpuuze Ila hakikisha unatimiza mahitaji yote Kama mume, kisha anza kumpiga Matukio Kama yote Kama kuchelewa Sana kurud siku nyingine la-la hukohuko, Tafuta michepuko hata Miwili tena wawe wazuri kuliko yeye na fanya namna Mkeo aijue, akianza kulalamika unamwambia kiupole tu kuwa we si majukumu yamekushinda, bas endelea hivohivo na usimuombe unyumba, usimtumie SMS akinuna na we wewe usimjali tena jifanye una furaha, ukifanya hivyo mwez tu atabadilika na kuomba po kisha atajirudi. Dawa ya mwanamke no mwanamke mwenzake na dawa ya mtu Jeuri, kiburi na gubu ni kuwa Jeuri,kiburi kumZidi yeye na kumuonyesha kutomjari. Baada ya Miezi 3 had 6 Kama hajabadilika bas Huyo sio riziki yako piga chini weka chuma kingine ndani. Mngekuwa mna watoto ningesema umpandishe cheo awe bimkubwa hata kama Dini hairuhusu.tulikua wapenzi sema ndo hvo si unajua kabla ya ndoa womens behave differently..alikua na vipengele vyake ila vya kawaida tu katka mapenzi..Kimbembe UCHUMBA ulivobadilika na Kuitwa NDOA tu..


