Wakuu, hatua lilipofikia hili jiji la Dar es Salaam, hakuna tena hamasa watu kwenda Ulaya au US kupiga picha

NIMEKUKUBALI SANA KWENYE KUTOA MAJIBU.
SIKUJUI ILA BILA KUPEPESA MACHO UNA ELIMU KUBWA(GENIUS)
 
Dah!

Natamani ungeena hapo Nairobi tu siku moja.

Ulaya mbali sana, utachoka.

Ukweli mchungu;
Kwa maendeleo ya vitu,
Tuna safari ya angalau miaka 100 kuikuta Ulaya ya sasa,-wao wakiwa wamesimama.

Chakata hilo.
 
Ulaya imebaki jina, China, Japan, South Korea wamejenga vizuri sana ulaya watasubiri kidogo mpaka akili ziwarudie na Tanzania tukiweka juhudi tunawapita sana ndani ya maka 20
Mkuu umepiga Sindano kwenye uti wa mgongo wa Uzi huu. Watz wengi bado washamba wanamawazo ya ulaya ile hakuna bismark enzi za majimaji war.

Tai pei tu kimajengo huwezi kuilinganisha na jiji lolote ulaya nzima.

Wabongo hawabadiliki dunia inawaacha sana
 
Dah!

Natamani ungeena hapo Nairobi tu siku moja.

Ulaya mbali sana, utachoka.

Ukweli mchungu;
Kwa maendeleo ya vitu,
Tuna safari ya angalau miaka 100 kuikuta Ulaya ya sasa,-wao wakiwa wamesimama.

Chakata hilo.
Nairobi nimeenda sana. Hapafikii ninachokisema. Acha wivu na nchi yako na mapendeleo yake
 
Dar es salaam ya sàsa ni Network ya 1880
 
Nilichokiona Jana nimenisaidia kusave pesa ya kununua camera Kali ya kitalii siku nikiingia ulaya
 
Ungekuwa umefika hata Jburg au Pretoria ungegundua kuwa ulichoandika siyo kweli.
Hebu tazama utofauti wa picha hizi mbili
Hii ni ubungo


Hii Gothenburg Sweden
 
Uko umeenda mbali sana zamani ilikuwa tukienda ulaya lazima urudi na TV au sabufa mambo yamebadilikaa
 
Miaka hiyo hata sidhani kama walikuwa na Umeme.
Wazungu walikuwa wanatumia koroboi.

Nicola Tesla kutoka Yugoslavia ndio aliwasaidia hao


Tomas Edison, Mmarekani na mvumbuzi wa Bulb unajua alianza uvumbuzi wake mwaka gani?
Naku-challenge, soma sio unaropoka tuuuuuuu.
 
Mtoa naona unajitahidi sanaaa kufananisha tembo na sisiminzi lkn umeshimdwa kutushawishi ...embu utuletee picha izo zinazo kupagawisha za Dsm then tukushishie picha miji ya izo nchi za ulaya ..unaweza ukazimia mtoa UZI acha zarau nenda CHATO ukaishi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…