Mkuu mpaka sasa bado hedhi imegoma kuonekana alafu analala lala sana sijui ndio kweli ni mimba.Ikiwa mlilombana kati ya March 29 na April 6 au 7 uwezekano mkubwa imo😍🤾♂🤼♀👨👨👦👨❤️💋👨
Nisaidie mkuu nizijueKuna kitu kinaitwa predo na lactogen me nazani ungeanza kuulizia bei zake kwa sasa itakusaidia uko mbeleni
J3 atapima kama badoSio kila mjamzito atatambua dalili za mimba kuwemo tena kama ni mara ya kwanza
Ila akiwa makini atagundua uwepo wa mimba siku 3 tu baada ya sex
Uhakika ni kununua kipimo cha buku apime
Mimba haipimwi kwa macho mkuu
Kingine inawezekana tu mvurugiko wa homon siku 4 tu mbona chache… wengine hadi miezi3 hola
Unapenda kipindi weweHuyo bibie aliishia la ngapi mpk asijue namna ya kutumia kalenda hata kama hawezi hapo si ana simu kubwa si apakue application ya period track hiyo ina track hadi dhambi
Mwambie a download my calendar itamsaidia kujua yupo siku gani.. huwa haidanganyi labda tu akosee mwenyewe kuweka taarifa ama mzunguko wake uwe haueleweki
Mimi yangu nimeiset kabisA inanileteaga notification nikiwa denger ama nikikaribia period
Mfano hiyo attachment hapo
Kwa wababa wote sio, mbona sio leoHappy Fathers Day😉
Huo umekinzana na wengi sanaHuu ufafanuzi ni hatari 😂😂
Half american usimsikilize huyu
Upi ni chai?Uzi huu SIO CHAI
Umeweka uzi saa nane usiku sio mchezo stress zake 😂😂
Huo mchezo hawezi mkuu na akiweza sio kwangu, huyu n ke wa malengo mkuu sio wa kupita ndio maana niliuza mechi, huwa siuzi mechi.Basi ni vizuri kama wewe utakuwa ni "fake beta male" na sio "real beta male" kma ambavyo nimekuwa nikikuchukulia, japo kwa hii post yako ya leo inaonesha wewe nj real beta ndio maana huyo demu anakuchezea akili kwa kutaka ulee mimba fake.
Lakini bahati nzuri kachagua kukwambia ukiwa umetulia 😂😂Upi ni chai?
Nmelala nikashindwa kulala wakati ananiambia nilikuwa nasinzia ila macho yalinitoka na usingizi ulikata wote.
Huyu nipo tayari kwa lolote ndio maana condom nilitumia tu round ya kwanza.Before Sex huw nauliza maswali mawili.
Moja huwa najiuliza mimi.. lingine namuuliza mhusika.
1. Je huyu naekulana nae, ikitokea la kutokea je anafaa kuwa Mke wangu? Je anafaa kuwa Mama wa Watoto/Mtoto wangu?.
2. Baby upo safe?
(Binafsi condom kwa kwel siziwezi)
Ananifaa kweli ngoja akapime nijue kifuatachoLakini bahati nzuri kachagua kukwambia ukiwa umetulia 😂😂
Huyo anafaa sana
Shabash! Hivyo ndivyo mbususu inaliwa mwanawane. 😍😍😍😍Mbona inaeleweka mkuu tulikutana kimwili bila kinga.
Kama kuna nyingine zaidiUnataka dalili ngapi ili iwe ni mimba?!
Kuanzia sasa utakuwa anajilia bila presha weee ni kumwagia tuuuAnanifaa kweli ngoja akapime nijue kifuatacho
Asante mkuuMimba hyo kaka subri tu mda atakuambia dariri zingne..
Kama 22 march ndo alitokamo na ukalala nae tarehe 2. Tukipga mahexabu hapo zinalenga kweny siku za hatari.
Pia hongera unaenda kuitwa baba tena utapata mtoto wa kiume kutokana na kalenda inavosema.
Nmefanya hivyo mkuu nimeanza kuelewa inawezekana ni mimba.Kwa kuwa umeuliza ukiwa serious mkuu Hebu tufanya hapa ni kama sehemu ya kuchukua majibu/ushauri wa ziada ila anza na kutafuta majibu kwa kuuliza kwenye search engines mbalimbali
Mambo uyapendayo 😂Kuanzia sasa utakuwa anajilia bila presha weee ni kumwagia tuuu
Kwenye ishu ya kalenda niwe muwazi sijui ila leo ndio nimejua.Mkuu, inamaana ushauri woote unaotoaga huwa ni FEKI ?
Kwamba wewe leo ni wa kusema sio mjuvi wa hizi mambo kweli