Wakuu hapa kuna mimba?

Wakuu hapa kuna mimba?

Hana Mimba, Kwa maana kama aliaanza tare 22 inamaana alimaliza hedhi yake tare 27 .

Kuanzia tare 28 march mpaka tare 2 April Kuna siku sita ambazo ni safe, kuanzia tare 3 mpaka 13 ilikua ndio danger zone, 14 mpaka 19 safe, kwahio hedhi nyingine angeingia kuanzia tare 20/22. Angalia usiwe umepigwa.
Hazihesabiwi hivyo,tunahesabu kuanzia tarehe ya mwisho aliyoanza hedhi yake ambayo Ni tarehe 22,mpaka tarehe 1&2 waliyokutana ilikuwa tayari Ni siku ya 11&12 toka hedhi ya mwisho,ana 90% ya kuwa na mimba Tena mtoto wa kike🤓🤓🤓🤓🤓🤓mkuu Half american msitoe hiyo mimba kaacheni ka babygirl kaishi!!
 
Kama n mimba haitolewi mkuu, zingatia neno kama.
 
Hazihesabiwi hivyo,tunahesabu kuanzia tarehe ya mwisho aliyoanza hedhi yake ambayo Ni tarehe 22,mpaka tarehe 1&2 waliyokutana ilikuwa tayari Ni siku ya 11&12 toka hedhi ya mwisho,ana 90% ya kuwa na mimba Tena mtoto wa kike🤓🤓🤓🤓🤓🤓mkuu Half american msitoe hiyo mimba kaacheni ka babygirl kaishi!!
Kwa maana hio tare 2 alikua danger. Atakua nayo.
 
27
Hana Mimba, Kwa maana kama aliaanza tare 22 inamaana alimaliza hedhi yake tare 27 .

Kuanzia tare 28 march mpaka tare 2 April Kuna siku sita ambazo ni safe, kuanzia tare 3 mpaka 13 ilikua ndio danger zone, 14 mpaka 19 safe, kwahio hedhi nyingine angeingia kuanzia tare 20/22. Angalia usiwe umepigwa.

Note: lakini pia inawezekana binti kuingia hedhi mara mbili kabla ya siku 24-28. Kama ana matatizo ya hormones imbalance.

Mimi sio daktari nazungumza kulingana na uzoefu wangu tu.
tarehe 2 April ilikuwa ni siku ya 11 hapo bado siku tatu yai litoke kwenye ovary mbegu za mwanaume hasa X zinaweza kuvumilia Hadi masaa 72 au hadi siku 5 kabisa zikiwa kwenye mwili wa mwanamke na kwa muda uwezekano wa mimba upo tena pisi kali itazaliwa
 
Kabla hatujafikia uamuzi wa kwenda kupima naomba kufahamu machache kwa wajuvi wa mambo.

Huyu binti kachelewa kuingia hedhi, alitegemea kuingia hedhi kuanzia tarehe 20 lakini hadi sasa hamna dalili.

22 March ndio ilikuwa tarehe ya kuanza hedhi yake ya mwisho, kati ya tarehe 1 au 2 april tulikutana.

Je kuna uwezekano amepata mimba au ni kuchelewa tu kwa hedhi? Hana dalili nyingine yeyote ya mimba ukitoa hiyo ya kuchelewa kuingia hedhi.

Pia naomba elimu kuhusu kalenda ya uzazi wa mpango.
View attachment 3315912
Nenda duka la madawa kanunue kipimo kujiondoa maswali mcheki kojo.

Hapa utajaza sever, matumboya kiba mama yana mabadiliko ya kila sampuri.

Waweza kudhani imo kumbe katika kulenga shabaha uli washout!
 
tarehe 2 April ilikuwa ni siku ya 11 hapo bado siku tatu yai litoke kwenye ovary mbegu za mwanaume hasa X zinaweza kuvumilia Hadi masaa 72 au hadi siku 5 kabisa zikiwa kwenye mwili wa mwanamke na kwa muda uwezekano wa mimba upo tena pisi kali itazaliwa
Mbona pisi kali@Half american kama Wewe Ni mkristo niambie aunt yake niandae Jina kabisa!
 
Nenda duka la madawa kanunue kipimo kujiondoa maswali mcheki kojo.

Hapa utajaza sever, matumboya kiba mama yana mabadiliko ya kila sampuri.

Waweza kudhani imo kumbe katika kulenga shabaha uli washout!
Sawa mkuu nitafanya hivyo
 
Back
Top Bottom