Wakristo wenzangu hebu tuacheni tabia hizi!

Hii kitu nimekuwa nikiiona na ikawa inanifanya nijiulize maswali mengi huku ikinikera sana na leo nimeona nitoe " nyongo " hasa kwa Wakristo wenzangu. Nilichokiaona leo Ibadani ndiyo kabisa " imenitibua ". Hivi kweli Mkristo na Mcha Mungu wa kweli umeamua mwenyewe kwenda Ibadani Kanisani unaweza kuthubutu kuyafanya haya yafuatayo?

  1. Kutoa Sadaka na kuomba chenji kwa Mashemasi tena bila hata aibu?
  2. Muda wote Ibada inaendelea Wewe unasinzia huku " udenda " ukikutoka " ndomoni? "
  3. Nyimbo ya kusifu inapigwa " Jitu " linapiga makofi huku " limenuna " mwanzo mwisho.
  4. Mtu mzima kabisa muda wa kutoa Sadaka unatoa Tsh 500/ huku umevalia Suti.
  5. Ibada inaendelea unachati na muda mwingine kuinama na kuongea na Simu.
  6. Mwanamke mzima unakaa Ibadani na " unajipanua panua " miguu yako hovyo hovyo.
  7. Unajitayarisha kutoa Sadaka yako " lijitu " linakuangalia " kodo " unatoa Tsh ngapi.
Ibada ya leo imenikera sana na haya yasipofanyika au kurekebishwa haraka katika Makanisa yetu ya Kikristo / Kiroho nadhani itabidi tu niwe nasalia Chumbani kwangu. Kuna Watu na matendo yao yanakufanya kabisa ukereke Ibadani hadi kupelekea kubadili Sala / Maombi yako ya siku hiyo.

Jamani hamjalazimishwa kwenda Kusali Kanisani kama unaona siku hiyo haupo vizuri vinginevyo mnapokuja Kusali na hayo Matendo yenu mnatukera mno Sisi Wakristo wa kweli na tunaomjua Mungu kisawasawa.

Ewe Mwenyezi Mungu nawaomba uwalaani vikali hawa Wakristo wenzangu wenye hizo tabia saba ( 7 ) hapo juu kwani wanatuharibia Imani yetu iliyotukuka kwako.
Hiyo number 1 na 4 inabaraka sawa na yule mjane kwenye BIBLE. ...
 
Hivi kumbe suti ni kigezo cha mtu kutoe pesa ndefu ibadani..!!? nilikua sijui hii

Sasa utavaaje Suti ya Tsh 300,000/ halafu unamtolea Mwenyezi Mungu sadaka yake Tsh " jero " au " buku? ". Kama huku siyo kumtafuta Mwenyezi Mungu akulaani kwa kumsanifu na kumkejeli ni nini?
 
Hii kitu nimekuwa nikiiona na ikawa inanifanya nijiulize maswali mengi huku ikinikera sana na leo nimeona nitoe " nyongo " hasa kwa Wakristo wenzangu. Nilichokiaona leo Ibadani ndiyo kabisa " imenitibua ". Hivi kweli Mkristo na Mcha Mungu wa kweli umeamua mwenyewe kwenda Ibadani Kanisani unaweza kuthubutu kuyafanya haya yafuatayo?

  1. Kutoa Sadaka na kuomba chenji kwa Mashemasi tena bila hata aibu?
  2. Muda wote Ibada inaendelea Wewe unasinzia huku " udenda " ukikutoka " ndomoni? "
  3. Nyimbo ya kusifu inapigwa " Jitu " linapiga makofi huku " limenuna " mwanzo mwisho.
  4. Mtu mzima kabisa muda wa kutoa Sadaka unatoa Tsh 500/ huku umevalia Suti.
  5. Ibada inaendelea unachati na muda mwingine kuinama na kuongea na Simu.
  6. Mwanamke mzima unakaa Ibadani na " unajipanua panua " miguu yako hovyo hovyo.
  7. Unajitayarisha kutoa Sadaka yako " lijitu " linakuangalia " kodo " unatoa Tsh ngapi.
Ibada ya leo imenikera sana na haya yasipofanyika au kurekebishwa haraka katika Makanisa yetu ya Kikristo / Kiroho nadhani itabidi tu niwe nasalia Chumbani kwangu. Kuna Watu na matendo yao yanakufanya kabisa ukereke Ibadani hadi kupelekea kubadili Sala / Maombi yako ya siku hiyo.

Jamani hamjalazimishwa kwenda Kusali Kanisani kama unaona siku hiyo haupo vizuri vinginevyo mnapokuja Kusali na hayo Matendo yenu mnatukera mno Sisi Wakristo wa kweli na tunaomjua Mungu kisawasawa.

Ewe Mwenyezi Mungu nawaomba uwalaani vikali hawa Wakristo wenzangu wenye hizo tabia saba ( 7 ) hapo juu kwani wanatuharibia Imani yetu iliyotukuka kwako.
No, 1, inaonyesha tayari umefeli na Kolabo yako feki!!!!
 
Kwa hiyo ww ulienda huko kanisa kuwachunguza wenzako au kusali?

Kwa mfano ningesema kuwa nimemuona Jambazi au Gaidi anataka kulipua Kanisani pia mngesema kuwa nimeenda Kanisani kuwachunguza Waumini wenzangu na Kusali au badala yake mngenisifu? Nawapeni matatizo na Kero za Makanisani nyie mnakuja ya responses za " Kipumbavu " kabisa. au Wewe ndiyo wale mnaojipanua panua " mapaja " yenu yasiyo na Kanisani hadi mnapelekea sisi Waumini wa Kiume " kudindisha " na " kukengeuka " kabisa na Ibada?
 
We ulienda kusali au kuchunguza mtu alivaa suti akitoa jero, mtu anae panua panua miguu, anaetokwa na udenda na mtu anae nuna wakati wa mapambio.!?!?
Acha unaa muumini uchwara wewe.
 
Mkuu wasalimie wajenda wanaofanya usafi nyuma ya nyuma yako...!! Jana niliona jwtz maeneo ya kawe,wale vijana wahuni wa kitaa chako walijificha wapi??

Mh ina maana ukienda kusali hua unaenda kucheki nani kafanta hivi na nani kafanya vile?? Unatoa wapi mda wakuona Mr x au madam y katia 500 sadaka?? Na kumbuka kutoa ni moyo,na wala sio utajiri

Sina hiyo taarifa ya JWTZ Mkuu kwani nipo sasa huku nchini Puerto Rico kikazi na nadhani nitarudi tarehe 2, September 2016 kuja kuangalia " Majeruhi " na " Wahanga " wa Biafra. Nisalimie sana huko kwenu Tanzania Mkuu na nimewamisi mno Wabongo.
 
8. Mtu badala ya kufuatilia ibada anaangalia wakristo wenzie wanafanya nini ili akaripoti JF.!

Wewe ni nani kunipangia Mimi cha kuleta humu JF? au ulitaka nilete humu UZI wa Dada yako alivyokuwa akikeketwa " filimbi " yake ya " kunako " ndiyo ungefurahi?
 
1472388925610.jpg
 
Umesema Kweli Sana. Wengine Wanatafuna Big G Kanisani. Wengine Wako Bize Na Watoto Utdahani Wako Kliniki. Inakera
 
namba 4 hapo umechapia...uwezo wangu mdogo MUNGU anaujua, na Yesu alisema .....Hakika huyu mama amemtolea Mungu kikubwa kuliko wote, sababu wengine wanaotoa sadaka kubwa wanafanya hivyo kwa kuwa wana akiba kubwa ya mapato yao.
 
Hii kitu nimekuwa nikiiona na ikawa inanifanya nijiulize maswali mengi huku ikinikera sana na leo nimeona nitoe " nyongo " hasa kwa Wakristo wenzangu. Nilichokiaona leo Ibadani ndiyo kabisa " imenitibua ". Hivi kweli Mkristo na Mcha Mungu wa kweli umeamua mwenyewe kwenda Ibadani Kanisani unaweza kuthubutu kuyafanya haya yafuatayo?

  1. Kutoa Sadaka na kuomba chenji kwa Mashemasi tena bila hata aibu?
  2. Muda wote Ibada inaendelea Wewe unasinzia huku " udenda " ukikutoka " ndomoni? "
  3. Nyimbo ya kusifu inapigwa " Jitu " linapiga makofi huku " limenuna " mwanzo mwisho.
  4. Mtu mzima kabisa muda wa kutoa Sadaka unatoa Tsh 500/ huku umevalia Suti.
  5. Ibada inaendelea unachati na muda mwingine kuinama na kuongea na Simu.
  6. Mwanamke mzima unakaa Ibadani na " unajipanua panua " miguu yako hovyo hovyo.
  7. Unajitayarisha kutoa Sadaka yako " lijitu " linakuangalia " kodo " unatoa Tsh ngapi.
Ibada ya leo imenikera sana na haya yasipofanyika au kurekebishwa haraka katika Makanisa yetu ya Kikristo / Kiroho nadhani itabidi tu niwe nasalia Chumbani kwangu. Kuna Watu na matendo yao yanakufanya kabisa ukereke Ibadani hadi kupelekea kubadili Sala / Maombi yako ya siku hiyo.

Jamani hamjalazimishwa kwenda Kusali Kanisani kama unaona siku hiyo haupo vizuri vinginevyo mnapokuja Kusali na hayo Matendo yenu mnatukera mno Sisi Wakristo wa kweli na tunaomjua Mungu tetekisawasawa.

Ewe Mwenyezi Mungu nawaomba uwalaani vikali hawa Wakristo wenzangu wenye hizo tabia saba ( 7 ) hapo juu kwani wanatuharibia Imani yetu iliyotukuka kwako.
Ila mkuu nimegundua katika pita pita zako umekutana na watu wenye tabia na mawazo ya hizo sampuli saba na lengo lako tuwadiscuss na kuwaweka sawa kupitia hapa,nakupa salute kwa ubunifu kwa kuvaa uhusika wa "kipuuzi"
 
Yani wewe unaenda kanisani huku unachunguza wenzio huo umbea mkuu huo ni muda wa wewe kuwasiliana na muumba sio kushangaashangaa wengine.
 
Back
Top Bottom