Wakristo wenzangu hebu tuacheni tabia hizi!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,054
107,538
Hii kitu nimekuwa nikiiona na ikawa inanifanya nijiulize maswali mengi huku ikinikera sana na leo nimeona nitoe " nyongo " hasa kwa Wakristo wenzangu. Nilichokiaona leo Ibadani ndiyo kabisa " imenitibua ". Hivi kweli Mkristo na Mcha Mungu wa kweli umeamua mwenyewe kwenda Ibadani Kanisani unaweza kuthubutu kuyafanya haya yafuatayo?

  1. Kutoa Sadaka na kuomba chenji kwa Mashemasi tena bila hata aibu?
  2. Muda wote Ibada inaendelea Wewe unasinzia huku " udenda " ukikutoka " ndomoni? "
  3. Nyimbo ya kusifu inapigwa " Jitu " linapiga makofi huku " limenuna " mwanzo mwisho.
  4. Mtu mzima kabisa muda wa kutoa Sadaka unatoa Tsh 500/ huku umevalia Suti.
  5. Ibada inaendelea unachati na muda mwingine kuinama na kuongea na Simu.
  6. Mwanamke mzima unakaa Ibadani na " unajipanua panua " miguu yako hovyo hovyo.
  7. Unajitayarisha kutoa Sadaka yako " lijitu " linakuangalia " kodo " unatoa Tsh ngapi.
Ibada ya leo imenikera sana na haya yasipofanyika au kurekebishwa haraka katika Makanisa yetu ya Kikristo / Kiroho nadhani itabidi tu niwe nasalia Chumbani kwangu. Kuna Watu na matendo yao yanakufanya kabisa ukereke Ibadani hadi kupelekea kubadili Sala / Maombi yako ya siku hiyo.

Jamani hamjalazimishwa kwenda Kusali Kanisani kama unaona siku hiyo haupo vizuri vinginevyo mnapokuja Kusali na hayo Matendo yenu mnatukera mno Sisi Wakristo wa kweli na tunaomjua Mungu kisawasawa.

Ewe Mwenyezi Mungu nawaomba uwalaani vikali hawa Wakristo wenzangu wenye hizo tabia saba ( 7 ) hapo juu kwani wanatuharibia Imani yetu iliyotukuka kwako.
 
Acha kuwachongea wakristo wenzako kwa Mungu, hivi Mungu akiwalaani kweli kama unavyomuomba utafaidi nini, unaacha kusali unakaa kuangalia wenzako wanafanya nini
 
Hii kitu nimekuwa nikiiona na ikawa inanifanya nijiulize maswali mengi huku ikinikera sana na leo nimeona nitoe " nyongo " hasa kwa Wakristo wenzangu. Nilichokiaona leo Ibadani ndiyo kabisa " imenitibua ". Hivi kweli Mkristo na Mcha Mungu wa kweli umeamua mwenyewe kwenda Ibadani Kanisani unaweza kuthubutu kuyafanya haya yafuatayo?

  1. Kutoa Sadaka na kuomba chenji kwa Mashemasi tena bila hata aibu?
  2. Muda wote Ibada inaendelea Wewe unasinzia huku " udenda " ukikutoka " ndomoni? "
  3. Nyimbo ya kusifu inapigwa " Jitu " linapiga makofi huku " limenuna " mwanzo mwisho.
  4. Mtu mzima kabisa muda wa kutoa Sadaka unatoa Tsh 500/ huku umevalia Suti.
  5. Ibada inaendelea unachati na muda mwingine kuinama na kuongea na Simu.
  6. Mwanamke mzima unakaa Ibadani na " unajipanua panua " miguu yako hovyo hovyo.
  7. Unajitayarisha kutoa Sadaka yako " lijitu " linakuangalia " kodo " unatoa Tsh ngapi.
Ibada ya leo imenikera sana na haya yasipofanyika au kurekebishwa haraka katika Makanisa yetu ya Kikristo / Kiroho nadhani itabidi tu niwe nasalia Chumbani kwangu. Kuna Watu na matendo yao yanakufanya kabisa ukereke Ibadani hadi kupelekea kubadili Sala / Maombi yako ya siku hiyo.

Jamani hamjalazimishwa kwenda Kusali Kanisani kama unaona siku hiyo haupo vizuri vinginevyo mnapokuja Kusali na hayo Matendo yenu mnatukera mno Sisi Wakristo wa kweli na tunaomjua Mungu kisawasawa.

Ewe Mwenyezi Mungu nawaomba uwalaani vikali hawa Wakristo wenzangu wenye hizo tabia saba ( 7 ) hapo juu kwani wanatuharibia Imani yetu iliyotukuka kwako.
Wewe umejuaje watu wanatoaga sh.500 kama hiyo no.7 hapo haikuhusu wewe mwenyewe?Halafu kutoa ni moyo na wala sio utajiri,kama mtu alichonacho ni 500 kwanini asitoe kwa ajili ya mungu wake?Isitoshe sio kila anayevaa suti basi mfukoni yuko vizuri,unaweza ukawa ulishona suti yako nzuri miaka mitano ukiwa mkurugenzi wa taasisi nyeti ya serikali lakini mwanzoni mwa mwaka huu ukawa umetumbuliwa na uko kijiweni na sasa mia tano unaiona kubwa lakini suti yako unavaa na kwenda nayo kanisani,na moyo wa kutoa unao lakini ulichonacho ni mia tano.Wewe unaweza kutoa milioni moja KIBISHOO na mimi nikatoa mia tano KWA MOYO mimi nikawa na thamani zaidi kwa mungu wewe thamani yako ikabaki kwa mabishoo wenzako tu...ila kwa mungu ni bora zaidi.
 
Hii kitu nimekuwa nikiiona na ikawa inanifanya nijiulize maswali mengi huku ikinikera sana na leo nimeona nitoe " nyongo " hasa kwa Wakristo wenzangu. Nilichokiaona leo Ibadani ndiyo kabisa " imenitibua ". Hivi kweli Mkristo na Mcha Mungu wa kweli umeamua mwenyewe kwenda Ibadani Kanisani unaweza kuthubutu kuyafanya haya yafuatayo?

  1. Kutoa Sadaka na kuomba chenji kwa Mashemasi tena bila hata aibu?
  2. Muda wote Ibada inaendelea Wewe unasinzia huku " udenda " ukikutoka " ndomoni? "
  3. Nyimbo ya kusifu inapigwa " Jitu " linapiga makofi huku " limenuna " mwanzo mwisho.
  4. Mtu mzima kabisa muda wa kutoa Sadaka unatoa Tsh 500/ huku umevalia Suti.
  5. Ibada inaendelea unachati na muda mwingine kuinama na kuongea na Simu.
  6. Mwanamke mzima unakaa Ibadani na " unajipanua panua " miguu yako hovyo hovyo.
  7. Unajitayarisha kutoa Sadaka yako " lijitu " linakuangalia " kodo " unatoa Tsh ngapi.
Ibada ya leo imenikera sana na haya yasipofanyika au kurekebishwa haraka katika Makanisa yetu ya Kikristo / Kiroho nadhani itabidi tu niwe nasalia Chumbani kwangu. Kuna Watu na matendo yao yanakufanya kabisa ukereke Ibadani hadi kupelekea kubadili Sala / Maombi yako ya siku hiyo.

Jamani hamjalazimishwa kwenda Kusali Kanisani kama unaona siku hiyo haupo vizuri vinginevyo mnapokuja Kusali na hayo Matendo yenu mnatukera mno Sisi Wakristo wa kweli na tunaomjua Mungu kisawasawa.

Ewe Mwenyezi Mungu nawaomba uwalaani vikali hawa Wakristo wenzangu wenye hizo tabia saba ( 7 ) hapo juu kwani wanatuharibia Imani yetu iliyotukuka kwako.
hahahaaaaa,,,,,, hata nje huwa wanawasumbua wauza magazeti na sambusa ananunua pipi anatoa elfu kumi ili apate na sadaka,,,,inamaana wki nzima huandai sadaka?
 
Kanisa ni kwa ajili ya kondoo waliopotea ili warudishwe zizini,basi kama ww unaona wanayofanya wamepotea,ujue hao wapo mahala sahihi,ni shetani tu bado amewakaa zaidi,wakishiba chakula cha bwana wataacha
 
Hii kitu nimekuwa nikiiona na ikawa inanifanya nijiulize maswali mengi huku ikinikera sana na leo nimeona nitoe " nyongo " hasa kwa Wakristo wenzangu. Nilichokiaona leo Ibadani ndiyo kabisa " imenitibua ". Hivi kweli Mkristo na Mcha Mungu wa kweli umeamua mwenyewe kwenda Ibadani Kanisani unaweza kuthubutu kuyafanya haya yafuatayo?

  1. Kutoa Sadaka na kuomba chenji kwa Mashemasi tena bila hata aibu?
  2. Muda wote Ibada inaendelea Wewe unasinzia huku " udenda " ukikutoka " ndomoni? "
  3. Nyimbo ya kusifu inapigwa " Jitu " linapiga makofi huku " limenuna " mwanzo mwisho.
  4. Mtu mzima kabisa muda wa kutoa Sadaka unatoa Tsh 500/ huku umevalia Suti.
  5. Ibada inaendelea unachati na muda mwingine kuinama na kuongea na Simu.
  6. Mwanamke mzima unakaa Ibadani na " unajipanua panua " miguu yako hovyo hovyo.
  7. Unajitayarisha kutoa Sadaka yako " lijitu " linakuangalia " kodo " unatoa Tsh ngapi.
Ibada ya leo imenikera sana na haya yasipofanyika au kurekebishwa haraka katika Makanisa yetu ya Kikristo / Kiroho nadhani itabidi tu niwe nasalia Chumbani kwangu. Kuna Watu na matendo yao yanakufanya kabisa ukereke Ibadani hadi kupelekea kubadili Sala / Maombi yako ya siku hiyo.

Jamani hamjalazimishwa kwenda Kusali Kanisani kama unaona siku hiyo haupo vizuri vinginevyo mnapokuja Kusali na hayo Matendo yenu mnatukera mno Sisi Wakristo wa kweli na tunaomjua Mungu kisawasawa.

Ewe Mwenyezi Mungu nawaomba uwalaani vikali hawa Wakristo wenzangu wenye hizo tabia saba ( 7 ) hapo juu kwani wanatuharibia Imani yetu iliyotukuka kwako.
Nilijua utazungumizia mambo ya mungu. Wewe ni mbeya unajuaje unafutilia mambo yasio kuhusu kanisani. Acha hiyo tabia
 
namba 5 inakuhukumu kwenye namba 7, ila kiujumla umesema mengi yana ukweli na ni mazuri, ila namba 5 si sahihi kwani hakuna kipimo cha sadaka, kila mtu anatoa anavyoguswa. Sidhani kama sahihi kutoa kanisani laki moja, wakati unajirani mjane, yatima, mlemavu, wazee na wasiojiweza wakiwa hawana msaada. Mi naona ni bora sadaka kubwa itumike kufanya charitable services, hata Mungu anasikia (James/yakobo 1:27)
 
Mungu anaangalia moyo wako na sikile unachokitoa Kwa ujivuni.waweza kuta yule aliyetoa sh.500 ndiye aliyetoa kikubwa kuliko yule aliyetoa Laki 1.Kanuni ya Mungu katika utoaji ni tofauti na ya wanadam.
 
Ukristo ni mfumo wa maisha. Ila wengi hawakubaliani na huu mfumo maana unapitia kwenye njia nyembamba. Wamegeuza makanisa vijiwe saccoss madanguro sehemu za maonyesho na viwanja vya maigizo. Yote haya hayakufanyi usiende kanisani maana hufuati watu unamfuata Mungu.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom