Wakristo wenzangu hebu tuacheni tabia hizi!

Hivi kumbe suti ni kigezo cha mtu kutoe pesa ndefu ibadani..!!? nilikua sijui hii
 
Mtoa mada umesahau wezi wa sadaka. Ujue kuna watu wananena juu ya sadaka kabla hawajapeleka kwenye kapu. Sasa inawezekana wakati Mungu anaifanyia mchakato we ukaiba unafikiri mini kitakupata?
Hili la kuchat kanisani tusaidiane kulikomesha kupitia matangazo kanisani linakuja kwa mwendo kasi.
 
Hii kitu nimekuwa nikiiona na ikawa inanifanya nijiulize maswali mengi huku ikinikera sana na leo nimeona nitoe " nyongo " hasa kwa Wakristo wenzangu. Nilichokiaona leo Ibadani ndiyo kabisa " imenitibua ". Hivi kweli Mkristo na Mcha Mungu wa kweli umeamua mwenyewe kwenda Ibadani Kanisani unaweza kuthubutu kuyafanya haya yafuatayo?

  1. Kutoa Sadaka na kuomba chenji kwa Mashemasi tena bila hata aibu?
  2. Muda wote Ibada inaendelea Wewe unasinzia huku " udenda " ukikutoka " ndomoni? "
  3. Nyimbo ya kusifu inapigwa " Jitu " linapiga makofi huku " limenuna " mwanzo mwisho.
  4. Mtu mzima kabisa muda wa kutoa Sadaka unatoa Tsh 500/ huku umevalia Suti.
  5. Ibada inaendelea unachati na muda mwingine kuinama na kuongea na Simu.
  6. Mwanamke mzima unakaa Ibadani na " unajipanua panua " miguu yako hovyo hovyo.
  7. Unajitayarisha kutoa Sadaka yako " lijitu " linakuangalia " kodo " unatoa Tsh ngapi.
Ibada ya leo imenikera sana na haya yasipofanyika au kurekebishwa haraka katika Makanisa yetu ya Kikristo / Kiroho nadhani itabidi tu niwe nasalia Chumbani kwangu. Kuna Watu na matendo yao yanakufanya kabisa ukereke Ibadani hadi kupelekea kubadili Sala / Maombi yako ya siku hiyo.

Jamani hamjalazimishwa kwenda Kusali Kanisani kama unaona siku hiyo haupo vizuri vinginevyo mnapokuja Kusali na hayo Matendo yenu mnatukera mno Sisi Wakristo wa kweli na tunaomjua Mungu kisawasawa.

Ewe Mwenyezi Mungu nawaomba uwalaani vikali hawa Wakristo wenzangu wenye hizo tabia saba ( 7 ) hapo juu kwani wanatuharibia Imani yetu iliyotukuka kwako.
[emoji115] [emoji115]6 [emoji3] [emoji3] [emoji13] [emoji16]
 
Mkuu wasalimie wajenda wanaofanya usafi nyuma ya nyuma yako...!! Jana niliona jwtz maeneo ya kawe,wale vijana wahuni wa kitaa chako walijificha wapi??

Mh ina maana ukienda kusali hua unaenda kucheki nani kafanta hivi na nani kafanya vile?? Unatoa wapi mda wakuona Mr x au madam y katia 500 sadaka?? Na kumbuka kutoa ni moyo,na wala sio utajiri
 
Chichiman bana. Wewe mbona huwezi kujizuia kujamba kwenye misa after last night's date na shemasi?
 
8. Mtu badala ya kufuatilia ibada anaangalia wakristo wenzie wanafanya nini ili akaripoti JF.!
 
Pale kinondoni tx kuna kanisa nje wameweka bango kabisa kuwa hakuruhusiwi kuvaa bikini, suruali kwa wanawake, mini sket n.k lakini watu wanalipita lile bango kama vile hawalioni. Kuna umuhimu wa kuchapa viboko watakao vaa mavazi kinyume na imani.
Hapo ndo huwa siwaelewi ndugu zetu hv unavaaje nguo fupi halafu unaenda kukaa bench la mbele kabisa, suruali imekubana matako ukuinama pichu yote nje unaanza kuhangaika kushusha flana chini utadhani wakati anavaa alikuwa haoni wakati kakaa nusu saa kwenye kioo
 
nawe leo ulikua kimbeya mbeya tu. umeyagunduaje yote hayo ndani ya ibada ya leo tuu? Bora ungetuambia umefanya utafiti kwa muda kadhaaa. Pole bila shanga utakua umekunywa panado tuliza maumivu ya shingo.
 
Hii kitu nimekuwa nikiiona na ikawa inanifanya nijiulize maswali mengi huku ikinikera sana na leo nimeona nitoe " nyongo " hasa kwa Wakristo wenzangu. Nilichokiaona leo Ibadani ndiyo kabisa " imenitibua ". Hivi kweli Mkristo na Mcha Mungu wa kweli umeamua mwenyewe kwenda Ibadani Kanisani unaweza kuthubutu kuyafanya haya yafuatayo?

  1. Kutoa Sadaka na kuomba chenji kwa Mashemasi tena bila hata aibu?
  2. Muda wote Ibada inaendelea Wewe unasinzia huku " udenda " ukikutoka " ndomoni? "
  3. Nyimbo ya kusifu inapigwa " Jitu " linapiga makofi huku " limenuna " mwanzo mwisho.
  4. Mtu mzima kabisa muda wa kutoa Sadaka unatoa Tsh 500/ huku umevalia Suti.
  5. Ibada inaendelea unachati na muda mwingine kuinama na kuongea na Simu.
  6. Mwanamke mzima unakaa Ibadani na " unajipanua panua " miguu yako hovyo hovyo.
  7. Unajitayarisha kutoa Sadaka yako " lijitu " linakuangalia " kodo " unatoa Tsh ngapi.
Ibada ya leo imenikera sana na haya yasipofanyika au kurekebishwa haraka katika Makanisa yetu ya Kikristo / Kiroho nadhani itabidi tu niwe nasalia Chumbani kwangu. Kuna Watu na matendo yao yanakufanya kabisa ukereke Ibadani hadi kupelekea kubadili Sala / Maombi yako ya siku hiyo.

Jamani hamjalazimishwa kwenda Kusali Kanisani kama unaona siku hiyo haupo vizuri vinginevyo mnapokuja Kusali na hayo Matendo yenu mnatukera mno Sisi Wakristo wa kweli na tunaomjua Mungu kisawasawa.

Ewe Mwenyezi Mungu nawaomba uwalaani vikali hawa Wakristo wenzangu wenye hizo tabia saba ( 7 ) hapo juu kwani wanatuharibia Imani yetu iliyotukuka kwako.
mkristo wa kweli hatoi laana Bali anaombea na kubariki. Kuliko kutoka kanisani na kulaani bora ungekaa zako nyumbani
 
Wewe pia ulikuwa unawaangalia wenzako wanatoa shil ngapi ndiomaana ukajua kuwa wanatoa 500 toa banzi kwenye jicho lako kwanza..
 
Mkuu, si kila anayeenda Ibadani anaenda kumwabudu Mungu unayemwabudu weye; wengine wanaenda ili kutafuta mke/mume; wengine wanaenda Ibadani kwa kuwa wanampenda muongoza Ibadani au Mchungaji; wengine wanaingia Kanisani kama wawindaji / mawakaka wa Ibilisi ili kumkwaza mtu dhaifu kama Gentamycine ili akwazike, arudi nyuma na asije tena Kanisani! Hivyo ukisusa kwenda Kanisani basi lengo la bwana mungu wao aliyewatuma limefanikiwa.

Uwe makini, ingia Kanisani, mwabudu Mungu na rudi nyumbani, mawazo yako unapoyahamishia kwa mtu wakati wa Ibada maana yake hukuwa Ibadani, umepoteza muda wako bure, na umeishia kutenda dhambi ukiwa Ibadani!

Vv
 
Back
Top Bottom