Wakristo wenzangu hebu tuacheni tabia hizi!

Hii kitu nimekuwa nikiiona na ikawa inanifanya nijiulize maswali mengi huku ikinikera sana na leo nimeona nitoe " nyongo " hasa kwa Wakristo wenzangu. Nilichokiaona leo Ibadani ndiyo kabisa " imenitibua ". Hivi kweli Mkristo na Mcha Mungu wa kweli umeamua mwenyewe kwenda Ibadani Kanisani unaweza kuthubutu kuyafanya haya yafuatayo?

  1. Kutoa Sadaka na kuomba chenji kwa Mashemasi tena bila hata aibu?
  2. Muda wote Ibada inaendelea Wewe unasinzia huku " udenda " ukikutoka " ndomoni? "
  3. Nyimbo ya kusifu inapigwa " Jitu " linapiga makofi huku " limenuna " mwanzo mwisho.
  4. Mtu mzima kabisa muda wa kutoa Sadaka unatoa Tsh 500/ huku umevalia Suti.
  5. Ibada inaendelea unachati na muda mwingine kuinama na kuongea na Simu.
  6. Mwanamke mzima unakaa Ibadani na " unajipanua panua " miguu yako hovyo hovyo.
  7. Unajitayarisha kutoa Sadaka yako " lijitu " linakuangalia " kodo " unatoa Tsh ngapi.
Ibada ya leo imenikera sana na haya yasipofanyika au kurekebishwa haraka katika Makanisa yetu ya Kikristo / Kiroho nadhani itabidi tu niwe nasalia Chumbani kwangu. Kuna Watu na matendo yao yanakufanya kabisa ukereke Ibadani hadi kupelekea kubadili Sala / Maombi yako ya siku hiyo.

Jamani hamjalazimishwa kwenda Kusali Kanisani kama unaona siku hiyo haupo vizuri vinginevyo mnapokuja Kusali na hayo Matendo yenu mnatukera mno Sisi Wakristo wa kweli na tunaomjua Mungu kisawasawa.

Ewe Mwenyezi Mungu nawaomba uwalaani vikali hawa Wakristo wenzangu wenye hizo tabia saba ( 7 ) hapo juu kwani wanatuharibia Imani yetu iliyotukuka kwako.
Wewe ukienda kanisani angalia kilichokupeleka na epuka kupiga chabo. rejea no.7
 
Karibu Kanisa Takatifu Katoliki na Mitume hakuna hizo kero ulizoorodhesha hapo juu GENTAMYCINE
 
Hii kitu nimekuwa nikiiona na ikawa inanifanya nijiulize maswali mengi huku ikinikera sana na leo nimeona nitoe " nyongo " hasa kwa Wakristo wenzangu. Nilichokiaona leo Ibadani ndiyo kabisa " imenitibua ". Hivi kweli Mkristo na Mcha Mungu wa kweli umeamua mwenyewe kwenda Ibadani Kanisani unaweza kuthubutu kuyafanya haya yafuatayo?

  1. Kutoa Sadaka na kuomba chenji kwa Mashemasi tena bila hata aibu?
  2. Muda wote Ibada inaendelea Wewe unasinzia huku " udenda " ukikutoka " ndomoni? "
  3. Nyimbo ya kusifu inapigwa " Jitu " linapiga makofi huku " limenuna " mwanzo mwisho.
  4. Mtu mzima kabisa muda wa kutoa Sadaka unatoa Tsh 500/ huku umevalia Suti.
  5. Ibada inaendelea unachati na muda mwingine kuinama na kuongea na Simu.
  6. Mwanamke mzima unakaa Ibadani na " unajipanua panua " miguu yako hovyo hovyo.
  7. Unajitayarisha kutoa Sadaka yako " lijitu " linakuangalia " kodo " unatoa Tsh ngapi.
Ibada ya leo imenikera sana na haya yasipofanyika au kurekebishwa haraka katika Makanisa yetu ya Kikristo / Kiroho nadhani itabidi tu niwe nasalia Chumbani kwangu. Kuna Watu na matendo yao yanakufanya kabisa ukereke Ibadani hadi kupelekea kubadili Sala / Maombi yako ya siku hiyo.

Jamani hamjalazimishwa kwenda Kusali Kanisani kama unaona siku hiyo haupo vizuri vinginevyo mnapokuja Kusali na hayo Matendo yenu mnatukera mno Sisi Wakristo wa kweli na tunaomjua Mungu kisawasawa.

Ewe Mwenyezi Mungu nawaomba uwalaani vikali hawa Wakristo wenzangu wenye hizo tabia saba ( 7 ) hapo juu kwani wanatuharibia Imani yetu iliyotukuka kwako.

Na wewe uache tabia ya kwenda ibadani kuchunguza wenzio
 
HASA HILO LA WANAWAKE AISEH SIKU HIZI WAMEZIDI KAMA NI KASI YA KUTAFUTA WACHUMBA IMEPITA KIASI ILA HILO LA SH 500 SI INSHU,UNAWEZA TOA MILION ILA BADO MWIZI MKUBWA KUMBUKA YULE MAMA KIPINDI CHA YESU,KUVAA SUTI SIO HOJA YA KUWA NA PESA NYINGI.ILA YOTE KWA YOTE YAACHE MAGUGU NA NGANO ZIOTE PAMOJA KUNA SIKU MCHUJO UTAPITA NI USHAURI TU
 
WA KWANZA NI WEWE HUFAI, MANA WEWE NDIIO HUYO NO. 7 UNATOA MIMACHO KODOOOO KUJUA MTU AMETOA KIASI GANI HALAFU UNAKUJA HUKU KUSIMANGA/KUSENGENYA...Sadaka ni chochote kile ulichonacho na ambacho unatoa kwa moyo wako wote ukiridhika, usikute wewe unatoa 50,000 sabab ya kujionyesha au kuhofia utasemwa Mungu hapendi sadaka ya namna hiyo, toa sadaka yako kwanza kwa kuficha na pia kwa moyo safi, kama mtu anategemea hicho kitakachobaki iwe nauli au akanunulie watoto sukari kuna tatizo?? MBONA UNATAKA KUFANYA DINI NGUMU
 
Back
Top Bottom