Wakristo wenzangu hebu tuacheni tabia hizi!

GENTAMYCINE Mkuu,
No2. Kwa mfano mimi ninafanya kazi usiku, nimemaliza shift ninajua kabisa kama sitahudhuria misa ya kwanza, baada ya hapo niende nyumbani kupumzika kabla ya kurudi kazini, bila hivyo sitapata muda wa kumwabudu Mungu.
3. Matatizo ya sauti yaliyosababishwa na maradhi au ajali, nisiabudu kwa kupiga makofi?

Haya mambo ya kuangalia simu wakati wa ibada hata mimi si yaafiki, kama unadharura afadhali utoke nje na simu yako.
Ninakumbuka tulipokuwa wadogo ule mwimbo wa "Toa ulichonacho bwana Yesu anakuoana mpaka moyoni mwako, wiki nzima alikulinda vyema sasa nawe ndugu yangu hembu fikiria".
 
Hapo kwenye no;4 & 7 sidhani km maono yako sijui utafiti wako uko sawa na sidhani km kuna ulazima kwa 7bu kila mtu anatoa kulingana na kipato chake alafu wakristo hawalaani km maandiko matakatifu yanavyo tuonya "usilaumu ili nawe usije kulaumiwa". Nway km hiyo tabia haujapendezwa nayo kanisani kuna muda wa kutoa matangazo ilitakiwa uwatangazie huko huko na sio huku Jf lkn pengine km kunawatu humu Jf wanatabia km hizo ni vyema wakaacha.Shalom
 
Pale kinondoni tx kuna kanisa nje wameweka bango kabisa kuwa hakuruhusiwi kuvaa bikini, suruali kwa wanawake, mini sket n.k lakini watu wanalipita lile bango kama vile hawalioni. Kuna umuhimu wa kuchapa viboko watakao vaa mavazi kinyume na imani.
imani inamruhusu mchungaji (kuhani) kuvaa suruali asogeapo mbele ya bwana?
 
Hii kitu nimekuwa nikiiona na ikawa inanifanya nijiulize maswali mengi huku ikinikera sana na leo nimeona nitoe " nyongo " hasa kwa Wakristo wenzangu. Nilichokiaona leo Ibadani ndiyo kabisa " imenitibua ". Hivi kweli Mkristo na Mcha Mungu wa kweli umeamua mwenyewe kwenda Ibadani Kanisani unaweza kuthubutu kuyafanya haya yafuatayo?

  1. Kutoa Sadaka na kuomba chenji kwa Mashemasi tena bila hata aibu?
  2. Muda wote Ibada inaendelea Wewe unasinzia huku " udenda " ukikutoka " ndomoni? "
  3. Nyimbo ya kusifu inapigwa " Jitu " linapiga makofi huku " limenuna " mwanzo mwisho.
  4. Mtu mzima kabisa muda wa kutoa Sadaka unatoa Tsh 500/ huku umevalia Suti.
  5. Ibada inaendelea unachati na muda mwingine kuinama na kuongea na Simu.
  6. Mwanamke mzima unakaa Ibadani na " unajipanua panua " miguu yako hovyo hovyo.
  7. Unajitayarisha kutoa Sadaka yako " lijitu " linakuangalia " kodo " unatoa Tsh ngapi.
Ibada ya leo imenikera sana na haya yasipofanyika au kurekebishwa haraka katika Makanisa yetu ya Kikristo / Kiroho nadhani itabidi tu niwe nasalia Chumbani kwangu. Kuna Watu na matendo yao yanakufanya kabisa ukereke Ibadani hadi kupelekea kubadili Sala / Maombi yako ya siku hiyo.

Jamani hamjalazimishwa kwenda Kusali Kanisani kama unaona siku hiyo haupo vizuri vinginevyo mnapokuja Kusali na hayo Matendo yenu mnatukera mno Sisi Wakristo wa kweli na tunaomjua Mungu kisawasawa.

Ewe Mwenyezi Mungu nawaomba uwalaani vikali hawa Wakristo wenzangu wenye hizo tabia saba ( 7 ) hapo juu kwani wanatuharibia Imani yetu iliyotukuka kwako.
Bahati mbaya sana, kama Mungu atapendezwa na ombi lako, wewe mwenyewe itabidi ulaaniwe. # 4 unadai "mtu mzima kabisa muda wa kutoa Sadaka unatoa Tsh 500 huku umevalia suti", lakini #7 unadai "Unajitayarisha kutoa Sadaka yako lijitu linakuangalia kodo unatoa shilingi ngapi." Wewe mwenyewe unaangalia watu wenye suti kodo na kuona wanatoa shilingi 500! Kwa kuwa umeombea laana watu wa namna hiyo laana hiyo inakuhusu pia wewe!

Hata hivyo, kuna ukweli kupitia mzaha wako kwamba makanisa siku hizi yamegeuka kuwa sawa na "social centres", kwamba watu hawaendi tena makanisani kumtafuta Mungu, bali kutimiza matakwa ya mwilini, hivyo haishangazi kuona watu wakiingia ibadani na ku pose kwa namna uliyoeleza kupitia mzaha huo!
 
Hii kitu nimekuwa nikiiona na ikawa inanifanya nijiulize maswali mengi huku ikinikera sana na leo nimeona nitoe " nyongo " hasa kwa Wakristo wenzangu. Nilichokiaona leo Ibadani ndiyo kabisa " imenitibua ". Hivi kweli Mkristo na Mcha Mungu wa kweli umeamua mwenyewe kwenda Ibadani Kanisani unaweza kuthubutu kuyafanya haya yafuatayo?

  1. Kutoa Sadaka na kuomba chenji kwa Mashemasi tena bila hata aibu?
  2. Muda wote Ibada inaendelea Wewe unasinzia huku " udenda " ukikutoka " ndomoni? "
  3. Nyimbo ya kusifu inapigwa " Jitu " linapiga makofi huku " limenuna " mwanzo mwisho.
  4. Mtu mzima kabisa muda wa kutoa Sadaka unatoa Tsh 500/ huku umevalia Suti.
  5. Ibada inaendelea unachati na muda mwingine kuinama na kuongea na Simu.
  6. Mwanamke mzima unakaa Ibadani na " unajipanua panua " miguu yako hovyo hovyo.
  7. Unajitayarisha kutoa Sadaka yako " lijitu " linakuangalia " kodo " unatoa Tsh ngapi.
Ibada ya leo imenikera sana na haya yasipofanyika au kurekebishwa haraka katika Makanisa yetu ya Kikristo / Kiroho nadhani itabidi tu niwe nasalia Chumbani kwangu. Kuna Watu na matendo yao yanakufanya kabisa ukereke Ibadani hadi kupelekea kubadili Sala / Maombi yako ya siku hiyo.

Jamani hamjalazimishwa kwenda Kusali Kanisani kama unaona siku hiyo haupo vizuri vinginevyo mnapokuja Kusali na hayo Matendo yenu mnatukera mno Sisi Wakristo wa kweli na tunaomjua Mungu kisawasawa.

Ewe Mwenyezi Mungu nawaomba uwalaani vikali hawa Wakristo wenzangu wenye hizo tabia saba ( 7 ) hapo juu kwani wanatuharibia Imani yetu iliyotukuka kwako.
mkuu naomba unielekeze aina ya haya maandishi unafanyaje ili yatokee hivyo?
 
Kwanza Ukristo hauruhusu sala za laana. Lakini kuna baadhi ya point ni nzuri, mfano si busara kuwa busy na simu kanisani.
 
Mkristo wa wapi unatumia lugha chafu namna hii? Wewe ulienda kanisani kufanya risechi au kusali? Ikiwa kila mmoja atahukumiwa kwa makosa yake wewe makisa ya wenzio yanakuhusu nini? Umetumia kipimo kaga kuwa wewe ni mkristo wa kweli unaemjua Mungu na kujua wengine hawamjui Mungu? Kipi kipimo cha sadaka inayomtosha Mungu kwa mwenye suti? Ukifika kanisani ni kuchunguza mwanamke yupi kajipanua na yupi kajibana, mkristo wa kweli wewe unaemjua Mungu unasali saa ngapi ikiwa kazi yako ni kuchunguza na kuhukumu?
 
Hongera mkuu, wewe nawe leo umeenda Ibadani?
 
Nahisi jamaa sio mkristo.
Huyo ni mkristo mwenzako, hakuna Muislamu wa kuingia makanisani, kuchunguza wakristo wanafanya nini, na wepi hawako sahihi kwenye sala zao. Penda sana tatizo lako liwe lako mwenyewe, kuliko tatizo lako kutafuta wa kumpa lawama, huoni wenzi wemekuwa wakimpa usahihi bila kujali ni mkristo au la.
 
Hapo kwenye no;4 & 7 sidhani km maono yako sijui utafiti wako uko sawa na sidhani km kuna ulazima kwa 7bu kila mtu anatoa kulingana na kipato chake alafu wakristo hawalaani km maandiko matakatifu yanavyo tuonya "usilaumu ili nawe usije kulaumiwa". Nway km hiyo tabia haujapendezwa nayo kanisani kuna muda wa kutoa matangazo ilitakiwa uwatangazie huko huko na sio huku Jf lkn pengine km kunawatu humu Jf wanatabia km hizo ni vyema wakaacha.Shalom
Mleta mada kaleta mada vizur kutokana na sura anayokutana nayo makanisani, badala ya kumbeza tulitakiwa tutafakari kwa kina kabla ya kumshambulia.
Labda nitoe uelewa mdogo juu ya hali hii makanisani:
1.Tambua kwamba kanisani Shetan uudhuria japo hashiriki na wakristu waabudio katika Roho na Kweli. Utamtambua kwa sifa alizohainisha mleta mada.
2.Swala la kutoa sadaka hata Shetani huongozana na waabudio katika Roho na kweli katika kutoa sadaka.Hapo watu wengi upenda kujilidhisha na neno la Biblia kwa kutafuta huruma isiyokuwepo kuwa nkitoa Tshs. 500 nabalkiwa kwa sababu ndicho nilichonacho, na mwingine anasema rohon mwake nmetoa laki moja basi mwenyezi mungu atanibark sana. Hivi viwango vyote shetani nae anatoa. Utofauti ni kwamba ROHO inayobeba sadaka hiyo kwenda madhabauni kwa bwana ni ROHO ya aina gani.
Katika mstari wa kwenda kupeleka sadaka nyuma yako anaweza akawa ni mtu mwenye ROHO ya Uchawi,Ukahaba kabeba sadaka ya Tsh. 500,Mbele yako ni mtu mwenye ROHO ya wizi au Jambazi,Fisadi au Mlevi kabeba Sadaka ya Tshs. Laki moja. Kwa hiyo si swala la kuangalia kiasi kinachotolewa na kuhukumu kwa mwenekano wa nje.
3.Roho yenye Upendo, Huruma, Imani, Fadhiri, Tumaini kwa Bwana, Sadaka yake ikitolewa hata kama ni Tshs. 100 au Laki moja yaweza kuwa kubwa sana mbele za Mwenyezi Mungu kuzidi sadaka yote iliyotolewa katika kanisa.Soma Zaburi ya 51.
 
Umefafanua vizuri sana mkuu.Barikiwa
 
Back
Top Bottom