Hii kitu nimekuwa nikiiona na ikawa inanifanya nijiulize maswali mengi huku ikinikera sana na leo nimeona nitoe " nyongo " hasa kwa Wakristo wenzangu. Nilichokiaona leo Ibadani ndiyo kabisa " imenitibua ". Hivi kweli Mkristo na Mcha Mungu wa kweli umeamua mwenyewe kwenda Ibadani Kanisani unaweza kuthubutu kuyafanya haya yafuatayo?
Ibada ya leo imenikera sana na haya yasipofanyika au kurekebishwa haraka katika Makanisa yetu ya Kikristo / Kiroho nadhani itabidi tu niwe nasalia Chumbani kwangu. Kuna Watu na matendo yao yanakufanya kabisa ukereke Ibadani hadi kupelekea kubadili Sala / Maombi yako ya siku hiyo.
- Kutoa Sadaka na kuomba chenji kwa Mashemasi tena bila hata aibu?
- Muda wote Ibada inaendelea Wewe unasinzia huku " udenda " ukikutoka " ndomoni? "
- Nyimbo ya kusifu inapigwa " Jitu " linapiga makofi huku " limenuna " mwanzo mwisho.
- Mtu mzima kabisa muda wa kutoa Sadaka unatoa Tsh 500/ huku umevalia Suti.
- Ibada inaendelea unachati na muda mwingine kuinama na kuongea na Simu.
- Mwanamke mzima unakaa Ibadani na " unajipanua panua " miguu yako hovyo hovyo.
- Unajitayarisha kutoa Sadaka yako " lijitu " linakuangalia " kodo " unatoa Tsh ngapi.
Jamani hamjalazimishwa kwenda Kusali Kanisani kama unaona siku hiyo haupo vizuri vinginevyo mnapokuja Kusali na hayo Matendo yenu mnatukera mno Sisi Wakristo wa kweli na tunaomjua Mungu kisawasawa.
Ewe Mwenyezi Mungu nawaomba uwalaani vikali hawa Wakristo wenzangu wenye hizo tabia saba ( 7 ) hapo juu kwani wanatuharibia Imani yetu iliyotukuka kwako.

Nimependa namba 6 namimi natakuja huko.
Mmh! Nakaa kimya mie yasije yakanishinda.Unayo VISA ya kuja huku Puerto Rico lakini? au labda unadhani hili tukio limetokea huko Unyanyembe kwenu?
Utakuwa wakala wa shetani weewe!unaanzaje kuchunguza yote ayo?
Hayo Yote umeyajuaje kama ulikuwa na wewe huwaangaliii wenzako. Umejuaje ametoa 500 kama ulikuwa hupigi chabo. Akili za magamba Bwana hebu jiongezee mkuuHii kitu nimekuwa nikiiona na ikawa inanifanya nijiulize maswali mengi huku ikinikera sana na leo nimeona nitoe " nyongo " hasa kwa Wakristo wenzangu. Nilichokiaona leo Ibadani ndiyo kabisa " imenitibua ". Hivi kweli Mkristo na Mcha Mungu wa kweli umeamua mwenyewe kwenda Ibadani Kanisani unaweza kuthubutu kuyafanya haya yafuatayo?
Ibada ya leo imenikera sana na haya yasipofanyika au kurekebishwa haraka katika Makanisa yetu ya Kikristo / Kiroho nadhani itabidi tu niwe nasalia Chumbani kwangu. Kuna Watu na matendo yao yanakufanya kabisa ukereke Ibadani hadi kupelekea kubadili Sala / Maombi yako ya siku hiyo.
- Kutoa Sadaka na kuomba chenji kwa Mashemasi tena bila hata aibu?
- Muda wote Ibada inaendelea Wewe unasinzia huku " udenda " ukikutoka " ndomoni? "
- Nyimbo ya kusifu inapigwa " Jitu " linapiga makofi huku " limenuna " mwanzo mwisho.
- Mtu mzima kabisa muda wa kutoa Sadaka unatoa Tsh 500/ huku umevalia Suti.
- Ibada inaendelea unachati na muda mwingine kuinama na kuongea na Simu.
- Mwanamke mzima unakaa Ibadani na " unajipanua panua " miguu yako hovyo hovyo.
- Unajitayarisha kutoa Sadaka yako " lijitu " linakuangalia " kodo " unatoa Tsh ngapi.
Jamani hamjalazimishwa kwenda Kusali Kanisani kama unaona siku hiyo haupo vizuri vinginevyo mnapokuja Kusali na hayo Matendo yenu mnatukera mno Sisi Wakristo wa kweli na tunaomjua Mungu kisawasawa.
Ewe Mwenyezi Mungu nawaomba uwalaani vikali hawa Wakristo wenzangu wenye hizo tabia saba ( 7 ) hapo juu kwani wanatuharibia Imani yetu iliyotukuka kwako.
Nna wasiwasi na ukristo wako
Ulienda kusali ama kuangalia waumini wenzako wanafanya nn?
Muumini wa kweli hajisifu ndugu yangu.
Hivi Ukristo ndo umekufundisha hivyo, kujisifu kuwa wewe ni Mkristo kisawa sawa. Umepata wapi Yesu akijisifu kwa watu kuwa yeye ni mbora kikweli kweli.
Halafu sikiliza wewe Muumini ********, Unaposema jitu limevaa suti linatoa sadaka shilingi 500/-, halafu unasema jitu linatoa macho kushuhudia mwenziwe katoa sadaka kiasi gani.....Sasa wewe ulijuaje kama yule aliyevaa suti alitoa shilingi 500/-?Wewe ni Muumini ********.
Mungu ukimpa hata shilingi 10, atakulipa kwa uzito wa shilingi 10 yako.
Jitathmini Muumini ********.
Hahahaah Na wewe hukwenda kusali unafuatilia watu wengine