GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,641
- 109,014
Kwani Wewe umekuja Kanisani Kusali ( Kuabudu ) au Kumchunguza GENTAMYCINE anatoa Sadaka ipi na Kiasi gani?
Tafadhali Benki Kuu ya Tanzania ( BOT ) kama ikiwapendeza rejesheni zile Noti za Tsh 500/= na mkiweza pia bunini na za Tsh 200/= kwani mtatufichia Aibu Sisi akina Choka Mbaya ambao wakati wa kutoa Sadaka ukitumbukiza tu Tsgi 500/= au Tsh 200/= au hata Tsh 100/= Waumini Wataalam, Wambea na Wanoko watajua tu na baada ya Ibada unageuka kuwa Thread ( Mada ) ya Kujadiliwa nao badala ya Kujadili neno la Kiroho la Siku tulilolishwa bila Mboga na Padre au Paroko au Mchungaji.
Mungu haangalii ukubwa wa Sadaka yako bali Moyo wako, Matendo yako, Imani yako Kwake na Unavyomuabudu. Tusichunguzane tafadhali......!!