Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

Kuna Mwingine aliitwa Professor Kighoma Ally Malima akiwa Minaki Secondary 1960s Marekani walikuwa wana program ya kuchukua Vijana waliomaliza kidato cha Sita kwenda kuwaendeleza kielimu huko Marekani hivyo wali conduct mitihani ya majaribio.

Mmoja wa walimu wa kujitolea alikuwa anasomesha Minaki alimuona Kighoma kama mmoja wa Vijana wenye kipaji akamchukua aende akafanye huo Mtihani uliokuwa unafanyika Pugu Secondary. Akiwa Kidato cha Tatu alifanya Mtihan wa Majaribio na kuwa Mwanafunzi Bora.

Alichukuliwa akaenda kufanya Program ya Pre university Marekani akafaulu akaanza Degree mpaka akafikia level ya Uprofessa ndio Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikamuomba arudi nchini mwanzoni mwa Mika ya 1980s.
mkuu asante sana kama hii habari ni ya kweli lakini. sijawahi kufikiria kama huyo Prof. nguli wa uchumi alipitia mtiririko huo.
 
mkuu siyo kila MTU anaye-disco chuo ajuwi wengine wana damu za kunguni , wakosoaji wa ma-lecture Kwaiyo ku-disco ni haraka sana.
Ndugu sijasema alidisco kisa hajui. I know zipo sbb nying za kudisco hyo yakutokujua ni sbb ya mwsho
 
Mmoja nimesoma nae Tambaza, ni mtoto wa mkuu wa mkoa mmoja(kipindi hicho alikuwa naibu waziri wa elimu), alipata Div. 4, ikabidi aende india kusomea degree ya uchumi. Sijui sasa hivi yuko wapi ? Unawezakuta yupo BOT au taasisi nyingine kubwa

Haaaaa,kumbe Wutamba mwenzangu??
 
Pia yupo Marehemu balozi Fulgence Kazaura.Huyu kafariki mwaka juzi akiwa makamu wa mkuu wa Chuo kikuu cha Dare salaam.Huyo alifanya mitihani ya kumaliza sekondari ya Cambridge ambayo hufanyika dunia nzima akashika nafasi ya kwanza duniani akawamwaga hadi waingereza wenyewe.

Nasikia hyo mitihani yao ni milaini mno ndio maana yule mchina aliyeshika namba mbili matokeo ya sasa aliopti mitihani ya necta
 
mkuu asante sana kama hii habari ni ya kweli lakini. sijawahi kufikiria kama huyo Prof. nguli wa uchumi alipitia mtiririko huo.

Alitokea kidato cha tatu akanza Pre university, hakufanya mitihani ya kidato cha nne wala sita
 
Kota alidisco udsm 2009, hakumaliza sheria. Nimeupenda huu uzi, wapo wap wale mato? Kina lusekelo, emily, mwinzarubu n.k, na je wanaperform kwel huko waliko
hilo jina lako limenifurahisha sana hahah..mwizarubu aligombea kura za maoni Arusha mjini sisiem wakampiga chini...sasa sijui anapiga mishe ganii saivi
 
Mgaywa wa Magafu....TO mwaka 1990 nadhani kibaha. Alijiunga Ilboru ilipotangazwa shule ya vipaji maalumu combination ya PCB. Mwaka 1995 aligombea ubunge jimbo la Mwibara kabla ya kujiunga na chuo. Kwa sasa sina uhakika yupo wapi huyu darasa mate!
 
Mgaywa wa Magafu....TO mwaka 1990 nadhani kibaha. Alijiunga Ilboru ilipotangazwa shule ya vipaji maalumu combination ya PCB. Mwaka 1995 aligombea ubunge jimbo la Mwibara kabla ya kujiunga na chuo. Kwa sasa sina uhakika yupo wapi huyu darasa mate!

mkuu wewe umemaliza kibaha mwaka gani?
 
Back
Top Bottom