Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

Major Gen. (rtd) Prof. Yadon. M. Kohi

Professor Yadon Kohi holds Bachelors (LLB) and Masters (LLM) degrees in Law (OUT, Tanzania), Bachelors degree in Medicine(MB ChB) (Makerere) and a Masters degree in Medicine(University of Glasgow, Scotland).

He was the first neurosurgeon in Tanzania. Professor Kohi has had a distinguished career in public service spanning more than thirty years. He served in the Tanzania Peoples Defence Forces rising to the rank of Major General (TPDF Chief of Medical Services) . He has also served as the Director General of the Tanzania Commission for Science and Technology (COSTECH), a State Corporation created to further and promote scientific research and development. He is the vice president of the Africa Malaria Network Trust and has held teaching positions at the Open University of Tanzania.

Professor Kohi is a member of the Tanzania Academy of Sciences and a Fellow of the Royal College of Surgeons of Glasgow.

Professor Kohi is a distinguished expert in the fields of Medical law, Medical malpractice and negligence. Source: Wambua & Maseno Advocates | Our team
 
Freeman Akilimali Mboye aliwahi kuwa TO miaka 90 .... naye sijui sasa yuko wapi..?
 
Kuna mtu anaitwa Msabila ni lecture wa mzumbe huyu jamaa hajawahi kuwa t.o?
 
Nadhani umechanganya Jina.
Aliyekimbiza mitihani hiyo ni Sir George Kahama tena Mitihani hiyo ya Camridge ndio iliepelekea akaitwa na Malkia Elizabeth akatunukiwa cheo cha SIR!! Huyu alikuwemo kwenye Baraza la kwanza la Mwalimu Nyerere na hata kwenye Utawala wa Mzee Mkapa alipata kuwa Waziri wa Kilimo na Ushirika.
Huwa naheshimu sana michango yako humu JF, ila hili la Mzee George Kahama kutunukiwa cheo cha SIR na malkia sio kweli hilo jina alipewa na Hayati J. Nyerere....... Naomba fanya utafiti kidogo wa historia la hilo jina la Sir kalipataje.
Ahsante.
 
Waliopata division four wengi hasa wale waliosoma zile shule za international school wengi ni MA DJ na wafanyakazi wa MA-CASINO.Kwa Ma DJ Utasikia wanaongea kile kizungu cha kubana midomo Everybody say YEEEE wakiwa wamevaa miwani ile mikubwa myeusi usiku kwenye kumbi zenye giza wakiwa wanafanya u-DJ wao

Hehehehe
 
hilo jina lako limenifurahisha sana hahah..mwizarubu aligombea kura za maoni Arusha mjini sisiem wakampiga chini...sasa sijui anapiga mishe ganii saivi
Nadhani katika maTO wa 2000-10 Mwizarubi ndo anaweza kuwa anongoza kuwa na certification nyingi. kama ifuantavyo.
-CPA
-ACCA
-CFA (hii Tanzania nzima sidhani kama wanafika 20)

Pia ana MBA na anamalzia PhD yake. ni guru katika financial matters.

kwa sasa yupo BoT.

Binafsi tangu tukiwa Ilboru amekuwa motivation kubwa kwangu.
namkubali sana Moses Mwizarubi, yupo very humble, siyo mtu mwenye makuu.
 
T.O ninae mmoja nimemuajiri ktk company yangu, ila yupo vizuri ni mwanasheria mzuri, lakini mimi Boss wake nilipata division 3
Kajembe wa Tanga? Yule ulikuwa taasisi moja ya kusaidia sheria kina mama
 
Mmoja wao ni mimi.

Natokeo kundi la wale wasiosoma twisheni kabisa, shule nzima olevel ilikuwa na walimu 6, kwa shule ya wanafunzi 470.
Kila muhura tulikuwa tunawahi kufunga kati ya wiki tatu hadi nne kwa kuwa wazabuni wamegoma kuleta chakula.
Nikafanikiwa kupata division 1:16, nilipoenda Advance maji yakawa marefu nikapata 2:12, sababu ni kuwa sikuwa na msingi mzuri kwa kuwa olevel ilikuwa ni kusolve past paper tu. Necta waliporudia maswali nikawaumiza.

Makofi kwangu tafadhali
Muhura au muhula? Anyway makofi kwako 🙂[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji123] [emoji122] [emoji122]
 
Back
Top Bottom