Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

Pia yupo Marehemu balozi Fulgence Kazaura.Huyu kafariki mwaka juzi akiwa makamu wa mkuu wa Chuo kikuu cha Dare salaam.Huyo alifanya mitihani ya kumaliza sekondari ya Cambridge ambayo hufanyika dunia nzima akashika nafasi ya kwanza duniani akawamwaga hadi waingereza wenyewe.
Ha ha ha ha ha ha daaah mkuu hii post yako imenifurahisha sanaaa.
 
sijawah kukutana face 2 face na T.O iwe wa o au a level,nahs hawa watu ni extra ordinally in everythng,nikiwaza msuli wa a level pcb nilipata 2 ya 10,afu mtu anakuwekea A flat duh,respect kwao,lakn maisha ni zaid ya clas grades
 
Elias yule T.O wa Tosa maganga yuko wapi maana alitukimbiza nasikiaga alidisco mara anafundisha tuition. Anaejua yuko wap anibrief. Yan maisha sio akili ya darasan jaman duu
 
Elias yule T.O wa Tosa maganga yuko wapi maana alitukimbiza nasikiaga alidisco mara anafundisha tuition. Anaejua yuko wap anibrief. Yan maisha sio akili ya darasan jaman duu
t.o mwaka gani?
 
Nikiwa Tosamaganga 2001-2003 nilikutana na TO Lusekelo lakini baada ya hapo sijawahi kusikia alipo. Alinisaidia sana practical za Physics na Chemistry. Hawa wanafunzi bora wana vipaji vya taaluma na mara nyingi wanatakiwa wabaki kwny taaluma na tafiti. Nafikiri ndilo kusudi la Mungu juu yao.
 
Kwa uzoefu best performers university ni wanafunzi waliosoma shule za kawaida na kumudu kupata alama tosha kujiunga chuo kikuu.
 
kuna Sunday Richard yule aliyetumbuliwa jipu juzi TCRA.
 
Elias yule T.O wa Tosa maganga yuko wapi maana alitukimbiza nasikiaga alidisco mara anafundisha tuition. Anaejua yuko wap anibrief. Yan maisha sio akili ya darasan jaman duu

Hahahahahaha....Yupo Third Year Petroleum Engineering Udsm na Last Born wetu...Dogo wangu anamvuta shati mbaya mzee mzima
 
Back
Top Bottom