Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

TO mwingine ni Hadija Mkocha Mbugunde - St. Francis 1998, Msalato Girls (special school by then) 2001. Kwa sasa yuko udsm college ya telecommunication. Salute kwake.
 
Unajua kirefu cha T.O? Eti T.O wa Dunia nzima!!!!!! T. O= Tanzania One sasa inakuaje awe Tanzania one wa Dunia nzima? Ila nimekuelewa ndg yangu wa Mupe.......Muruke.....!!! Huyo Prof alikuwa na firm yake ya Auditing baada ya kufariki kuna wahuni mpaka leo wanatumia Signature na Muhuri wake kukagua vitabu vya hesabu kutokana na Reputation ya jina lake!

Mkuu Pohamba nilivyosema T.O sio kwamba sijui maana yake hapana la hasha nimeweka neno kutokana na muktadha wake.

Ukianza kulitafsiri kihivyo utakuwa unakosea sana, maake kimsingi before hakujawa na mitihani ya Tanzania hakukuwa na Ma T.O?

Nadhani tujifunze kueleweka context ya neno kama lilivyotumika. Hata hivyo bado hata kwa Tanganyika alikuwa the best na akaenda extra mile kuwa bingwa kwa nchi zilikuwa zinafanya mitihani ya Cambridge.

Kwangu mimi hakuna msomi aliyefikia kiwango cha the late Prof. Justinian.
 
TO wa Dunia nzima ilimaanisha nini? TO wa Uganda, TO wa Zanzibar nasikia ni Jecha!
 
Kuna mmoja alimaliza miaka ya 90 kama sijakosea ni Christina Tungaraza alikuwa mwanafunzi bora halafu ana ushape wa hajaa. Mwaka juzi kama si mwaka jana nimemuona nje ya standard chartered bank sikujua kama ni mfanyakazi au alikuwa mteja. Pia anaonesha alikuwa hajaolewa (hakuwa na pete kidoleni) lakini pia sikuwa na uhakika wengi wao wanafeli mapenzi.
Sijui nilichoandika kimeeleweka.......
Kasie.
nahisi unamuongelea mtoto wa profesa tungaraza na mwalimu tungaraza (diwani wa makongo). alikuwa voda, sijui kama ameacha. yuko kwenye ndoa labda pete imembana akaitoa.
 
TO wa Dunia nzima ilimaanisha nini? TO wa Uganda, TO wa Zanzibar nasikia ni Jecha!
Mkuu tumaelewana kwenye muktadha wa neno T.O kwenye mada??
Ndio maana mwenye thread kaweka updates to include hata wale waliokuwa top 10. Lengo la thread sio T.O tu kwa maana ya neno bali waliofanya vyema shuleni ndio maana akaongeza wigo to top 10
 
Acha ubishi! Usitumie TO wa dunia tumia best student. Huwezi kusema Rweyemamu alikuwa TO wa Dunia sema alikuwa best student dunia nzima. Ukishavuka mpaka neno TO usilitumie tena. Uganda watasema UO sio tena TO kwa hiyo hakuna TO wa dunia nzima rekebisha hapo mliposema Prof Rweyemamu alikuwa TO wa Dunia nzima
 
nahisi unamuongelea mtoto wa profesa tungaraza na mwalimu tungaraza (diwani wa makongo). alikuwa voda, sijui kama ameacha. yuko kwenye ndoa labda pete imembana akaitoa.

Ndo huyo huyo
 
sijawah kukutana face 2 face na T.O iwe wa o au a level,nahs hawa watu ni extra ordinally in everythng,nikiwaza msuli wa a level pcb nilipata 2 ya 10,afu mtu anakuwekea A flat duh,respect kwao,lakn maisha ni zaid ya clas grades
We utakua Joel mashimba tu!!!uliemaliza a level old moshi
 
Hapa tunazungumzia TO wale walio ongoza Tanzania. Kuna watu.wanatuletea siojui shule gani kaongoza ?.

Kila shule.ina mkali wale. Hata lowassa sec ina wakali japo wote wamepata div 4.

So.Please tunataka kujua wale walio tamba kitaifa japo kuanzia miaka ya 90.
 
ma to wanazingua sana kwenye maisha hawa perform vizuri nchi inaishia kuongozwa ba kina mwinyi, kikwete, magufuli etc wote average student.

bila kusahau wasio na shule ndio wanasumbua mbaya kwenye mafanikio kina bakhresa, davis mosha bila kumsahau gsm aka home shopping mfalme wa magumashi anafanya kila biashara kuanzia gsm cement,gsm boda boda, gsm malls, gsm malori, gsm baby shop yaani kila kitu ma to wametoa macho tu..

kuna mtu anaitwa raphael logistics mgoogle for more details.. huyu mjinga x forklift driver aliyeamua kutokea kwenye taaluma yake ya heavy lifters.. ni hatari sana gari ya mkewe vorkswagen touraran mpyaaaa namba imeandikwa mama mankaaaa.... yaaani to akiiona lazima aogope.. huyu mjinga scania zake za kushushia makontena zinatumia remote kama tv...

elimu ya kibongo waliosoma maskini hawana msaada kwa taifa.. ila wale wahuni ndio wana balaaa hatari kwenye maisha
 
Elias yule T.O wa Tosa maganga yuko wapi maana alitukimbiza nasikiaga alidisco mara anafundisha tuition. Anaejua yuko wap anibrief. Yan maisha sio akili ya darasan jaman duu
mkuu siyo kila MTU anaye-disco chuo ajuwi wengine wana damu za kunguni , wakosoaji wa ma-lecture Kwaiyo ku-disco ni haraka sana.
 
Kuna yule kijana wa askofu kulola kama sikosei alikua T.O olevel na advance pale iriboru mwanzoni mwa miaka ya 2000 alikua anasoma pcb,nani anaweza kunikumbusha majina yake?
 
Kuna wale ma TO enzi za cambridge walikimbiza nchi zote za common wealth...mmoja akaenda kutengeneza formula ya Konyagi..mwingine akagundua formula ya Safari Lager...
Aliye gundua formula ya safari lager ni Mzee Shellukindo Snr aliyekuwa TBL.kwa sasa Ni mstaafu yupo ana kula matunda ya jasho lake.
 
Kuna Jamaa mmoja alikuwa akitufundisha Tuition miaka ya 2000 pale Magomeni Turiani. Dr Wenslaus( Dr. Wenz) nilikutana nae amechoka sana nilimuonea huruma. Sijajua kwa sasa yupo wapi, but niliambiwa bado anafundisha Tuit. Huyo Martin Chegele alikuwa TO A' level mwaka wetu. Jamaa yuko vzr alipiga A flat za EGM. Heshima kwake.
 
Mkuu naomba ufafanuzi Dk Harrison Mwakyembe Kwa kumbukumbu zangu ambazo ziko Sawa kabisa,alisoma Diploma ya uandishi wa Habari pale DSJ,Je alisoma diploma baada ya kuwa mwana funzi Bora wa mitihani ya kidato Cha nne au Cha Sita ndio akaenda DSJ??
Was about to ask the same question
 
Back
Top Bottom