Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

Wapo BOT,voda,tigo,hospitali mbalimbali,wachungaji na mapadre hasa kutoka seminari ambazo kila mwaka zinaongoza,na akinadada wengi ni masista,Waliopata Division zero Wengi ni matejA,Waliopata division four wengi WANA BETI kwenye meridian sports,na wanaendesha bodaboda,
Hii sasa umezidisha mkuu
 
Kuna mmoja alimaliza miaka ya 90 kama sijakosea ni Christina Tungaraza alikuwa mwanafunzi bora halafu ana ushape wa hajaa. Mwaka juzi kama si mwaka jana nimemuona nje ya standard chartered bank sikujua kama ni mfanyakazi au alikuwa mteja. Pia anaonesha alikuwa hajaolewa (hakuwa na pete kidoleni) lakini pia sikuwa na uhakika wengi wao wanafeli mapenzi.
Sijui nilichoandika kimeeleweka.......
Kasie.
Hongera kwa kujipigia Promo.
 
una PhD ya umbea
 
Dr Mihogo ambae yuko canada sasa hivi , aliwahi kua T.O ila sijui ni mwaka gani kwa kuangalia CV yake tu lazima alikua T.O.

Maana alipomaliza form four tu akaenda kusoma master degree, hakuna cha six wala bachelor degree, anastahili u T. O.
 
Kuna kiumbe nilimkuta mzumbe kipindi chetu alitokea loyola anaitwa mbise jamaa hatari sana ratiba yake ilikuwa kucheza na kulala jinsi anavyosoma kama anasoma gaazeti jamaaa alikuwa moto wa kuotea mbali alikuwa wapili kitaifa wazazi wake walimpeleka UK
 
Kuna Jamaa mmoja alikuwa akitufundisha Tuition miaka ya 2000 pale Magomeni Turiani. Dr Wenslaus( Dr. Wenz) nilikutana nae amechoka sana nilimuonea huruma. Sijajua kwa sasa yupo wapi, but niliambiwa bado anafundisha Tuit. Huyo Martin Chegele alikuwa TO A' level mwaka wetu. Jamaa yuko vzr alipiga A flat za EGM. Heshima kwake.

Jamaaa alikuwa mwamba sana sema pombe ndio zimempoteza
 
Kuna kiumbe nilimkuta mzumbe kipindi chetu alitokea loyola anaitwa mbise jamaa hatari sana ratiba yake ilikuwa kucheza na kulala jinsi anavyosoma kama anasoma gaazeti jamaaa alikuwa moto wa kuotea mbali alikuwa wapili kitaifa wazazi wake walimpeleka UK
Abraham mbise hakuwahi kuwa wa pili kitaifa usiweke data za uwongo bali nazani likuwa wa tano kitaifa he was my classmate.by that time mzumbe kila mtu alikuwa anaweza kuwa T.O inategemea siku ya mitihani upepo umekukaliaje.
 
Jamaa alikuwa smart sana kama mtu akiwa vizuri lazima tukubali
 
Tutamkubali ila sio kwa data za uongo

Data za uongo zipi sasa....mimi mwenyewe nimepita hapo mzumbe nimeona jamaa soma yake kama ulikuwa unapiga misuli kubali kipaji cha mtu jamaa alikuwa vizuri mbona ata mtoto wa bwenge alikuwa smart acha kujenga wivu wewe
 
Unaowataja hao wote ni jamaa zangu huyo anaitwa kwiza bwenge ila mbise hajawahi kuwa wapili bro,mi sina wivu boss,last time kwiza alikuwa anafanya kazi baker hughes uarabuni hapo.so nafahamu nachoongea.kwiza alikuwa mtabe wa pure alikuwa akikaa karume 2 hapo
 
By the way msitishike sana na hawa ma T.O. Wengi wao ni watu wa kawaida. Ingawaje Kuna baadhi ukiwaona na kuangalia lifestyle zao unakubali kuwa huyu mtu ni special.
 
Back
Top Bottom