Wako wapi hawa wadau?

AshaDii katususa sana siku hizi. Tunamiss mchango wako. May God bless you wherever you may be!

Mzee Mwanakijiji nae anaingia kimachalemachale tu.

Malaria Sugu sijui kafia wapi
 
wengine waliharibu PM walipoona wamejulikana wakabadili ID. pole yako nanihino
 

Mzee mwenzangu, mang'ana siyo mazuri na huyu bibi anazidisha speed utadhani amesahau kwamba tulishastaafu!

Nahitaji booster kidogo...si ndiyo mkuu??

Ila kama ni dau mie nitatoa ili ukamrudishe klorokwini
 
Last edited by a moderator:

Wamesha kuwa wazee wanashindwa kukimbizana na damu changa akina @Lara1, Smile, Smiles
 
Last edited by a moderator:
wengine waliharibu PM walipoona wamejulikana wakabadili ID. pole yako nanihino

Ok, ok, ok....Nimekupata sasa....

Kwa hiyo watu ambao hawajabadili ID au bado wanatumia zile za zamani (hata kama wanazo nyingine za ziada) hajamtenda mtu kupitia PM?


Hapa naona kuna watu wamepaishwa sana....
Kaizer, Asprin, Teamo, The Boss, Baba_Enock, Nyani Ngabu, PakaJimmy na wengine ambao siyo masalia... Hongereni sana kwa kutofanya maasi kupitia PM!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…