Wako wapi hawa wadau?

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Enzi hizo thread zilikuwa thread kweli. Hapo bado Lizzy naye hajatupia mbwembwe zake, bado muke ya muzungu Natalia naye hajaibuka
 
Last edited by a moderator:
.....hehhehh...changamoto za kuanzisha sredi zilitokana na wachangiaji wanaotajwa tajwa sanaaa kwenye sredi hii...
Hivi sasa wooote hao wameingia mitini, na waliobakia kina Nyamayao, wewe, na wachache wengineo mmebakia #Wachunguliaji zaidi!


Mkuu Mbu unajua kwa nini tunajikuta tunaenda chit chat ni kuondoa stress baada ya kujikuta unatembelea MMU unaishia kukereka na maswali yao hayo ya ajabu ambayo utafikiri watu wako kijiweni wanaongea
Kukiwa na thread serious ambazo zinaibua mjadala wanaochungulia wote utawaona wanarejea mmoja baada ya mwingine
 
Last edited by a moderator:

.....seriously, kuna Mdahalo nauandaa kichwani...tangu wiki iliyopita ninajifikiria niubandike hapa au la ila si unajua tena wachangiaji wenyewe wa siku hizi hawachelewi kukwambia umepitwa na wakati.
Well, baadae kidogo nitauweka hewani tupanue mawazo.
 
Umo tena saaana......Weee mbaya sana wewe....!!

Unaamua kabisa kuwashusha watu testosterone yao (bidhaa adimu kabisa)...hutaki nipate wajukuu zaidi??

Sijui nisema kuwa nakupenda sana wewe (au kinyume chake)??

Babu DC!!
Lols. Nimewashusha wapi mie babuuuu
 


Karibu sana mkuu
Ndani ya kupitwa na wakati ni kuwa sisi hatuvai mlegezo wala hatuandiki kwa vile viherufi vyao vya xaxa ila tunaishi kulingana na kuendana na wakati ila katika kimaadili zaidi
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…