Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,648
Yaani mbu hapa room kwangu kuna mbu! Dawa sina nilimtuma ps toka juzi hajaleta na Mimi navochukia dawa dah sijui nifanyeje Leo.sijui nyie mbu mmetumwa?
Nimeshawarestisha in peace wote. Ila Huyu mbu mwambie aje.teh teh namruhusu aninyonye damu yote na maji pia
Mbona umelitelekeza jukwaa mdogo wangu Freema Agyeman?
Ila nimefurahi sana kuwaona wadau wa enzi za MMU ya kweli!!
This is more that a reunion!
....siku za mwisho mwisho kumsoma, huyu mchungaji alikuwa #Mkali kweli kweli, midlife crisis hizi hatareee maazee
naamini huko aliko Mwenyezi Mungu muweza wa yote amemvusha salama aisee...
nyumba kubwa?... BelindaJacob?
Yaani I can't Imagine Magwiji wote tajwa leo humu siku hizi wameishiwa
"Maskendeli" ya kubandika jukwaa hili
Nipo bestito, majukumu tele Mbu ukizingatia na majanga ya man u..he he
Thanks for having me in mind. Have a blissful weekend!!
Unanitaka?
hahaaa! majukumu tu mkuu! asante lol!
hahaaa! majukumu tu mkuu! asante lol!
......ahhh, Moyes asikufanye mnyonge hivyo, it's only a game luv.
Haya, nice weekend to you too....xxx