Na FaizaFoxy mwaka huu hajaonekana
Wewe endelea na mgomo wa kutonisalimia....siku nikishusha laana usije kunilaumu!!
Umeona eeh HV umenipigia simu Leo babu?
Hivi umepata mchumba?
Sikupigii ng'o...
Mie naendelea kukupigia wakatu hata hupokei simu zangu....
Wewe na mimi...duuuu subiri tu!
Yaani sikupendi siku hizi wewe....laiti ungejua....
Bibi kakununia pia!!