Wako wapi hawa wadau?

Wako wapi hawa wadau?

Roulette huwa anaonekana kwa kubeep sana siku hizi ..!!!!!!!

Eiyer ni balaa mi nilikuwa napenda thread za hawa watu AshaDii na Lizzy na The Finest bana wakitoa thread unajiuliza uanze kujibu nini au unaacha watu wengine wajibu ndo na wewe upate pa kuanzia Roulette nae kapotea sijui nini kimemkimbiza humu

Jamani ndugu zangu mi nipo! Naingia mara nyingi bila ku-log in ndio maana sipati notifications, ila nipo! Upande mngine mimi nachefuka haraka na watu wanao kosa ustaarabu. Kuna mtindo mpya umeingia humu wa ku-bully watu. Mtindo huu unanikera kuliko maelezo! Yaani watu wanaona ujanja kujibu kwa lugha chafu, kutukana au kudhalilishana. Hata wakipewa ban wanakuja kwa njia zingine. Worse: they gang up to disrespect members. binafsi najipenda sana, nimeona niwapishe. lol
 
Kuna huyu DaMie nae hajaneana kitambo kirefu!!
 
Last edited by a moderator:

Umewapa kile wanachohitaji hao,hiyo inamaana umewasikiliza

Lakini hututendei haki sisi tunaojali na kukuheshimu
Kwanini hujatupakile tunachohitaji kutoka kwako?

Hebu tusikilize na sisi bana!
 
Umewapa kile wanachohitaji hao,hiyo inamaana umewasikiliza

Lakini hututendei haki sisi tunaojali na kukuheshimu
Kwanini hujatupakile tunachohitaji kutoka kwako?

Hebu tusikilize na sisi bana!

Unajua sometimes you don't always have to win. Bora kuconcede, na kuwapa wanacho taka ili na mimi nibaki na kile ninacho jivunia. Kuna wakati unajiona tu you don't fit anymore.
BekRvDGCIAAOljv.jpg
 
Unajua sometimes you don't always have to win. Bora kuconcede, na kuwapa wanacho taka ili na mimi nibaki na kile ninacho jivunia. Kuna wakati unajiona tu you don't fit anymore.
BekRvDGCIAAOljv.jpg

Vipi kuhusu sisi tunaokujali??
 
Hahahahaha, huyu yupo ila kaingia kwa jina lingine. Anachangia on a more serious angle, aliona lile jina la zamani linaweza kua mbaya. hhahahaha ngoja nimtafute PM

Nashukuru sana kwa taarifa hiyo nimefarijika sana, mwambie kaka yake amemiss sana na mfikishie salam zangu. mwambie kama hatojali ani PM
 
Salam zimefika. Ataku-contact in a while, inshallah

bonjour Roullete? coma so va, bona press bona mi?!! heheee!!

jamani mwalimu wangu wa kifaransa huyu!!

ticha madaftari yangu yako wapii?? pepa zinakaribia ujue!!!
 
Last edited by a moderator:
The Boss aka Mr. Smooth Operator is that dude .

I have great admiration for him. I actually wanna be like him when I grow up.

Halafu kuna huyu mdada Annina....naye sijui kapotelea wapi. Nadhani Mr. Smooth Operator anajua whereabouts zake.

Nyani Ngabu,
Nipo Mkuu majukumu tu yanabana, huwa napita pita kiaina. Nashukuru kwa kunikumbuka.
Annina
 
Inawezekana wamo humu humu watu wana Id mia mia
 
Huyo @Woman Of Substance kapotea sana
@Uporoto nilimuona siku moja nae sijui yupo Michelle nae je? Steve Dii ?????? Konakali

Damn wapo wengi sana nahisi huzuni nikiwakumbuka wote ....!!!!!!!!
Jamani Eiyer, I miss JF more....nipo mdogo mdogo tu...!Nawasalimu wote,nafurahi kuona mpo. God Bless you!
 
Back
Top Bottom