Mbona umepotea na wewe mkuu Excel?
nipo mkuu, namsaka mrembo wangu Batuli aka Cleopatra. maybe na mimi ntakuwa na mke humu jf!!
since yesterday namtafuta tu lakini simuoni kabisa jamani!
kokote atakapoonekana.. thats my little gift for her... hio ni long shot kwa ajili yake tu!
nikija nampa close up mpaka tuelewane!
Umeona anayoyasem Valentina hapo juu?
Kwa nini unaishi kwa matumaini wakati tumaini lenyewe unalo mkononi?
Ebu nifundishe vzr kwa mie nnae tumia cm
babu! niko chini ya miguu yako.. tafadhali chukua nafasi hii kunibembelezea binti mrembo, Batuli aka Cleopatra. for sure nimefall for a long time toka anajitambulisha kule jukwaa la celebrities. please ungana na babu mwenzio, Asprin, mnifikishie taarifa hizi muhimu kwa njiwa wangu, mpendwa wangu... princess BATULI!!
Don't du that babu
nini sasa na wewe? kwani mi kumpenda Batuli aka Cleopatra we inakuuma?
babu Asprin, n Dark City, wazee wangu naombeni niwatume rasmi tuwasilishe barua ya posa kwa wazazi wa princess BATULI..
ntashukuru saaana endapo hii itafanyika on time!
JUST IN TIME..
ID mpya ndo wao mkuu zilizozoeleka wameweka pembeni wapo humu unakulanao sahani moja! Dark City
[h=6]Erotica mlinione wapi huyu mdada??[/h]Yaani wewe hiki kirusi sijui ulikitolea wapi ....lol!!!!!!!!!!!!