Yuko Mwanza huko anauza mabondo. Na mara kadhaa amejaribu kugombea umwenyekiti wa chama mkoa anaangukia pua.hv Said mek sadiki Yuko wap mzee huyu 🤔
Yuko Mwanza huko anauza mabondo. Na mara kadhaa amejaribu kugombea umwenyekiti wa chama mkoa anaangukia pua.hv Said mek sadiki Yuko wap mzee huyu 🤔
Ahmed Msangi ni DCP yupo bado kazini, Kova yupo vizuri sana sana kimaisha ana vishughuli vyake vya kumpa uhakika wa kula na mafuta ya V8, Wengine sijui lakini nadhani muroto boss wa ulinzi GGM mgodi wa geita sio kazi mbaya sina uhakika na mshahara wake lakini aliyetoka hiyo nafasi niaka ya 2016 alikuwa analipwa kama M 8 kwa mwezi pamoja na benefits kibaoHello wazee,ni kitambo kama maajabu kutowaona katika pilika pilika za polisi hawa makamanda maana kama wengekuwa ma RPC basi tungesikia tu au kama wanapewa au kuhamishwa vitengo maana kiutaratibu inapotokea kiongozi anahamishwa au kupewa kijiti tunataarifiwa wazi.
1.Kamanda AHMED MSANGI,jembe langu sana hili,wengi tulilifahamu,jamaa katembea sehemu ngumu ngumu kama RPC na mara ya mwisho alitokea MBEYA akatupwa MWANZA na cheo cha kamishna msaidizi.Vipi huyu bwana yu wapi? kastaafu au? .2.Kuna bwana mmoja wa kuitwa NSATO MARIJANI alishawahi kuwa kamanda wa operation na mafunzo kipindi cha magufuli,na inasemekana walihenya jkt pamoja na magufuli,alipotea ghafla tuu baada ya kumpa kijiti mzee LIBERATUS SABAS.
3.MZEE WETU MUROTO japo alikuwa anazingua sana,kwa kuwadhalilisha watuhumiwa mitandaoni na kwenye press vipi nae yu wapi?
4.Vipi kuhusu mzee MAMBOSASA maana mara ya mwisho sirro alimtoa DSm na kumpeleka CCP MOSHI kama mkuu wa chuo ila kwa sasa kuna mkuu wa chuo mwingine pale.
5ABDULLRAHMAN KANIKI alikuwaga naibu IGP miaka mingi tangu kwa igp mwema hadi ernest mangu pale.
Tumwage mchele,si kwa ubaya ni story tuu za hapa na pale na. kama kuna wengine tuwataje,polisi ni chombo chetu japo kuna kukwazana.
Ooh kumbe mabondo ni nn 🤔Yuko Mwanza huko anauza mabondo. Na mara kadhaa amejaribu kugombea umwenyekiti wa chama mkoa anaangukia pua.
Mara hii 🤔. what's happening manKamanda kova yupo kwake mbweni hata kutembea shughuli hajiwezi pumbavu kabisa
Age labda!!Mara hii 🤔. what's happening man
okAlistaafishwa mapema ...umri ulikuwa bado
hiuo kampuni ya ulinzi ya GGM ni ipo chinni ya polisi?Ahmed Msangi ni DCP yupo bado kazini, Kova yupo vizuri sana sana kimaisha ana vishughuli vyake vya kumpa uhakika wa kula na mafuta ya V8, Wengine sijui lakini nadhani muroto boss wa ulinzi GGM mgodi wa geita sio kazi mbaya sina uhakika na mshahara wake lakini aliyetoka hiyo nafasi niaka ya 2016 alikuwa analipwa kama M 8 kwa mwezi pamoja na benefits kibao
Geita Gold Mine, (GGM)ok
hiuo kampuni ya ulinzi ya GGM ni ipo chinni ya polisi?
Anafuga samaki ....meki sadiki ...Hv Suleiman kova yuko wapi?
Afu nje ya mada, hv Said mek sadiki Yuko wap mzee huyu 🤔
Sa mkuu unataka mtu wa 85 years atembee strongly kama alivyokuwa na 30 years?Waliokuwa wa hovyo sana! IGP mahita na majambia ya cuf sasa anachechemea na bakora, Mungu mkubwa!
Kwa umri alionao si ajabu hata babu yako Hana mtawafanya vijana waone wanaochechemea kama walitenda dhambi wakati ni suala la umri na afyaWaliokuwa wa hovyo sana! IGP mahita na majambia ya cuf sasa anachechemea na bakora, Mungu mkubwa!
yule ni msukuma wa Sengerema, atakuwa amejichimbia Mwanza huko akifuga samakiAfu nje ya mada, hv Said mek sadiki Yuko wap mzee huyu 🤔
huyu ni mlinzi Geita Gold mine nadhaniMZEE WETU MUROTO japo alikuwa
Mzee wa "tumefanya general attachment".Alfred Tibaigana mutu ya watu Muzee ya Heineken aka masanga,hana baya Muzee ya Kijichi.
Muroto huyoMwingine Ni mlinzi wa mgodi