Wako wapi hawa Makamanda machachali wa Polisi?

Wako wapi hawa Makamanda machachali wa Polisi?

Ahmed Msangi yupo office ya DCI.

Aliyepata kazi mgodini ila alishastaafu pia mgodini ni Abdallah Msika.

Makamanda wema:

Basilio Matei - alikuwa rpc Arusha 2010
Tibaigana - Dar Es Salaam

DC Msangi sio mtu poa, anaonesha ana ukatili.

Kwasasa moja ya senior police wema ni DC Henry Mwaibambe, hata akizungumza unaona. Alikuwa rpc Tanga, na Geita.
mkuu ukiwa police sio sawa na askari magereza,sirro ni mtu wa dini sana ila amini kwamba ilibidi awe mtata kwenye baadhi ya mambo, ernest mangu mtu poa sana ila akaonekana sio poa,hata jeshini MP MILLITARY POLISI ni wakali sababu the nature of the force is to ensure the law is obeyed,yaan wewe unakuwa mwalimu wa nidhamu,mwalimu wa nidhamu hajawahi kuivana na mwanafunzi.Makamanda wazuri weng tuu ila mfumo.leo muliro anaonekana maneno meng wakat namfahamu muliro mtu poa sana na ni jembe la kazi.
 
Ahmed Msangi yupo office ya DCI.

Aliyepata kazi mgodini ila alishastaafu pia mgodini ni Abdallah Msika.

Makamanda wema:

Basilio Matei - alikuwa rpc Arusha 2010
Tibaigana - Dar Es Salaam

DC Msangi sio mtu poa, anaonesha ana ukatili.

Kwasasa moja ya senior police wema ni DC Henry Mwaibambe, hata akizungumza unaona. Alikuwa rpc Tanga, na Geita.
ofisi ya DCI tena! make ana cheo cha DCP yaani naibu kamishna ambapo huyo DCI mwenyewe ni kamishna,labda kama ni DCI msaidizi
 
Mzee Mambosasa yupo amefungua sehemu nzuri sana hapa mjini Kuna ukumbi wa sherehe, bar, restaurant, mazingira mazuri na Kuna swimming pool pamoja na sehemu za kuchezea watoto. Mara nyingi tunakula na kupiga bia moja mbili tatu katika bar yake tukiwa na familia. Akiwakuta atakuja katika meza atawasalimia kwa heshima, kuwakaribisha na kuwashukuru kwa kuja yupo very humble.
kazi tuu,ila watu poa sana,siasa zinachafua sana watu
 
Hello wazee,ni kitambo kama maajabu kutowaona katika pilika pilika za polisi hawa makamanda maana kama wengekuwa ma RPC basi tungesikia tu au kama wanapewa au kuhamishwa vitengo maana kiutaratibu inapotokea kiongozi anahamishwa au kupewa kijiti tunataarifiwa wazi.

1.Kamanda AHMED MSANGI,jembe langu sana hili,wengi tulilifahamu,jamaa katembea sehemu ngumu ngumu kama RPC na mara ya mwisho alitokea MBEYA akatupwa MWANZA na cheo cha kamishna msaidizi.Vipi huyu bwana yu wapi? kastaafu au? .2.Kuna bwana mmoja wa kuitwa NSATO MARIJANI alishawahi kuwa kamanda wa operation na mafunzo kipindi cha magufuli,na inasemekana walihenya jkt pamoja na magufuli,alipotea ghafla tuu baada ya kumpa kijiti mzee LIBERATUS SABAS.

3.MZEE WETU MUROTO japo alikuwa anazingua sana,kwa kuwadhalilisha watuhumiwa mitandaoni na kwenye press vipi nae yu wapi?

4.Vipi kuhusu mzee MAMBOSASA maana mara ya mwisho sirro alimtoa DSm na kumpeleka CCP MOSHI kama mkuu wa chuo ila kwa sasa kuna mkuu wa chuo mwingine pale.
5ABDULLRAHMAN KANIKI alikuwaga naibu IGP miaka mingi tangu kwa igp mwema hadi ernest mangu pale.

Tumwage mchele,si kwa ubaya ni story tuu za hapa na pale na. kama kuna wengine tuwataje,polisi ni chombo chetu japo kuna kukwazana.
Duh, namba 3 hapo Kamanda Giles Muroto zee la kupiga watu mpaka wachakae! Lilikuwaga jembe sana hili zee ila nasikia siku hizi ni mkurugenzi sijui meneja wa kampuni ya ulinzi! Mambosasa kama yuko chuo cha maafisa wa Polisi pale Kilwa Road?
 
Back
Top Bottom