Tripple MM
JF-Expert Member
- May 31, 2023
- 555
- 795
Uzi wa hovyo hovyo tuš®
Sawa,nenda kampakate.Ilituchukua miaka 59 (1961-2020) kujenga vituo 8,783 vya kutolea huduma za afya.
Mama ametumia miaka minne (2021-Aprili 2025) kujenga vituo 4,063.
Kwa miaka 10, atajenga vituo sawa na tulivyojenga tangu uhuru.
#TikiKwaSamia
Wewe ndiyo mshamba na unaoneka ujawahi kukutana na wastaafu wa Serikal za nchi nyingine, na siku ukija kukutana nao utwaona wastaaf kutoka Tanzania wana matatizo au wana laana inawapata baada ya kustaafu kutokana na Matendo yao. Nisawa Na Brigedia General astaafu kazi aende kuajiliwa kama mlinzi. Yani Rpc umefanya kazi zaidi ya miaka 30 unastaafu unaenda kulipwa milioni 2 kwenye Ulinzi.acha ushamba bwana mdogo,mfano kastaafu u rpc,anakula pensheni na huku kwenye usecuruty manage anakuwa anazuga,kinachomata hela anayoingiza,utashangaa anavuta mil 2 kwa mwez na yy ni kutoa maelekezo kwa ma supervisor tuu
Na wanapapenda kule balaaMmoja apo yuko safety house baada ya kuutaka u IGP kwa njia za kimafia
Hata kova hawezi kutembea miguu inakataaUkitaka kujua Kama polisi alivuka mipaka ya kazi ili awatese watu angalia maisha yake baada ya kustaafu.
Wengi utakuta hawawezi kutembea, kut"*ba, stress nyingi etc ili TU wasile zile pesa za laana.
š¤£š¤£š¤£ tulia kijana nahisi hujakomaaWewe ndiyo mshamba na unaoneka ujawahi kukutana na wastaafu wa Serikal za nchi nyingine, na siku ukija kukutana nao utwaona wastaaf kutoka Tanzania wana matatizo au wana laana inawapata baada ya kustaafu kutokana na Matendo yao. Nisawa Na Brigedia General astaafu kazi aende kuajiliwa kama mlinzi. Yani Rpc umefanya kazi zaidi ya miaka 30 unastaafu unaenda kulipwa milioni 2 kwenye Ulinzi.