Wako wapi hawa Makamanda machachali wa Polisi?

Wako wapi hawa Makamanda machachali wa Polisi?

Muroto amestaafu, Mambosasa ni mkuu wa chuo Dar es Salaam police Academy

Hao wengine sijui
 
Sirro akiwa RPC Mwanza alikuwa Mzee wa kazi na ni kati ya MaRPC walikuwa wazuri sana

Tibaigana nikiwa bado kachalii nilipenda sana zipe Press zake

Msangi akiwa Mwanza ila yule hata Muonekano tu ni mtata

Afande Giles Muroto nilikuwa nacheka tu

Kuna Mwingine alikuwa Njombe ni wajuzi juzi tu hata Mwaka haujaisha toka nimjue anapress kama mpemba hivi
 
Polisi aliyekubalika kuliko wote hapa Tanzania ni kamanda TIBAIGANA
Hakuna na Hila Wala kumuonea mtu, hakuna na press za kinafiki Kama Mambosasa na Lazaro.
Mwingine laki Sio kivile ni Kova.
nadhani na GEWE labda kimtindo walikuwa very fail japo GEWE mfumo wa mahita ulikuwa unamyumbisha ila alijitahidi
 
mkuu ukiwa police sio sawa na askari magereza,sirro ni mtu wa dini sana ila amini kwamba ilibidi awe mtata kwenye baadhi ya mambo, ernest mangu mtu poa sana ila akaonekana sio poa,hata jeshini MP MILLITARY POLISI ni wakali sababu the nature of the force is to ensure the law is obeyed,yaan wewe unakuwa mwalimu wa nidhamu,mwalimu wa nidhamu hajawahi kuivana na mwanafunzi.Makamanda wazuri weng tuu ila mfumo.leo muliro anaonekana maneno meng wakat namfahamu muliro mtu poa sana na ni jembe la kazi.
MAJUKUMU YA KAZI na DHURUMA vitu viwili tofauti
kuna tabia ambazo NATURE mtu anazariwa nazo yupo hvyo
mfano MAGUFURI ukali ndio nature yake lkn kuna mambo mengine yapo kimfumo aliyakataa 7bu hawezi kwakuwa moyo wake una UTU ndani yake

Samia ni mpole lakini umeona alivyojifunza UBADHADHI yeye kaamua kwenda na mfumo na mfumo ukambadirisha ndo yupo hvyo sana unavyomuona
nadhani mpk kuna wakati unashindwa kuelewa huwa anawaza nini
Unajua VIONGOZI wengi hupenda kutumia mifumo ya kifalsafa na ndio inayowafanya kubadilika na kuwa na roho za kinyama
Viongozi wachache walioamua kutumia mifumo ya KIDINI wengi walipendwa na wananchi na wakiacha LEGANCY nzuri kabisa

MAHITA alikuwa na ROHOMBAYA ile nature na aliishii hvyo so ukijumrisha na MFUMO ndo akazidi kuishi KIWAKI
TIBAIGANA na GEWE walijitahidi kubalance ya kimfumo na vile roho zao zilihitaji

umesema SIRRO mtu wa DINI ila mfumo ulimbadirisha
ila kama angeamua kubalance ya kimfumo na moyo safi wake basi kuna legancy angeacha akakumbukwa

pamoja na wote tunakubari magufuri ndio chanzo cha kudhoofisha DEMOKRASIA nchini na kukandamiza wapinzani kwa ujumla
lakini legancy yake ya uzarendo kwa TAIFA na Wananchi kwa ujumla haitasahaulika

DUNIA itakukumbuka kwa kile ulichokifanya ambacho kilihatarisha hata REPUTATION yako kwa mfumo
lkn kama utasema uhusujudie MFUMO lazima mwisho wako utakuwa wa majuto mateso
wanasema huwa KUFA HUFI ila cha moto utakiona

kwa KAWAIDA kinzuri hakidumu
sisi husema mtu MWEMA hufa mapema sana
lakini wale wema zaidi na wakaishi na MUNGU ndani yao bila Unafiq huishi maisha marefu sana yenye baraka na AFYA njema

Kumbuka nikisema MFUMO basi uanzia ngazi ya DUNIA kabisa na kila kinachotokea na kutendeka
kuna watu wamekipanga
unakumbuka Unaenda low school middle school HIGH school then UNIVESTY kisha unagraduate some wanapata kazi na kulipa mkopo(they dumble but still with some monaye)
lkn wengi huwa still dumble with Debit
wasted mda wao na ELIMU mfumo ambao umewafanya kuwa very dumble 7bu hawana ela hawa watu wanaweza kufanya chochote 7bu mfumo ukishwaharibu ni wachache huamua kupambana vingine 7bu wanakuwa waneshakubari kuwa MFUMO umewapotezea muda so wanamoveON

so unaweza kuamua kuishi nje ya MFUMO but uwe mwenye kuamini MUNGU yupo
 
Hv Suleiman kova yuko wapi?

Afu nje ya mada, hv Said mek sadiki Yuko wap mzee huyu 🤔

JamiiForums





Usiyoyajua kuhusu Said Meck Sadiki​

1 of 4Next Last
Subscribe
•••
[IMG alt="kuseka"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/165/165505.jpg?1438779743[/IMG]

kuseka

Member​

Je, unafahamu kama RC Meck Sadiki ni Mtumishi na kiongozi Mwadilifu katika Chama na Serikali?

Utumishi CCM
A. Katibu Wa Chama Wilaya;
1. Liwale
2. Manyoni
3. Iramba

B. Katibu Wa Chama Mkoa;
1. Mtwara
2. Mara

Utumishi Serikalini
A. Mkuu wa Wilaya;
1. Tanga
2. Mtwara

B. Mkuu wa Mkoa;
1. Lindi
2. Dar Es Salaam
3. Kilimanjaro

Umri
Ndugu Meck Sadiki kwa sasa ana umri wa miaka 72 tika kuzaliwa kwake.

Mapumziko
Sasa ni mda wa kwenda kupumuzika Nyumbani kabisa Kijijini Nyehunge/Nyaprukano, Wilaya ya Sengerema

Ubashiri
Kuibukia kwenye siasa hasa nyakati hizi CCM ikiwa kwenye uchaguzi wa ndani ya Chama.
1. Nafasi ya Uenyekiti WAZAZI Taifa.
2. Nafasi ya Uenyekiti CCM Mkoa wa Mwanza.

Kila la heri kwa RC Meck Sadiki kwani ameacha kazi katika Utumishi wa Umma kwa heshima na weledi mkubwa sana.

MUNGU AENDELEE KUMBARIKI NA KUMPA MAISHA MAREFU KATIKA AFYA NJEMA.

C&P
 
Ilituchukua miaka 59 (1961-2020) kujenga vituo 8,783 vya kutolea huduma za afya.

Mama ametumia miaka minne (2021-Aprili 2025) kujenga vituo 4,063.

Kwa miaka 10, atajenga vituo sawa na tulivyojenga tangu uhuru.

#TikiKwaSamia
 
Back
Top Bottom