Wako wapi hawa Makamanda machachali wa Polisi?

Wako wapi hawa Makamanda machachali wa Polisi?

Ahmed Msangi ni DCP yupo bado kazini, Kova yupo vizuri sana sana kimaisha ana vishughuli vyake vya kumpa uhakika wa kula na mafuta ya V8, Wengine sijui lakini nadhani muroto boss wa ulinzi GGM mgodi wa geita sio kazi mbaya sina uhakika na mshahara wake lakini aliyetoka hiyo nafasi niaka ya 2016 alikuwa analipwa kama M 8 kwa mwezi pamoja na benefits kibao
Mkuu yani kutoka Rpc mpaka kuwa Security Mwnager wa mgodi daah hii ni hatari sana, Cheo cha Security Manager wa GGM ata Mlinzi wa Garda anaweza kupata.
 
Mzee Mambosasa yupo amefungua sehemu nzuri sana hapa mjini Kuna ukumbi wa sherehe, bar, restaurant, mazingira mazuri na Kuna swimming pool pamoja na sehemu za kuchezea watoto. Mara nyingi tunakula na kupiga bia moja mbili tatu katika bar yake tukiwa na familia. Akiwakuta atakuja katika meza atawasalimia kwa heshima, kuwakaribisha na kuwashukuru kwa kuja yupo very humble.
Mambosasa aliharibiwa na awamu ya tano na mwanzoni mwa hii ya 6. Ila kiasili ni mtu poa sana, anapenda kushirikiana na jamii kuimarisha ulinzi
 
Ilituchukua miaka 59 (1961-2020) kujenga vituo 8,783 vya kutolea huduma za afya.

Mama ametumia miaka minne (2021-Aprili 2025) kujenga vituo 4,063.

Kwa miaka 10, atajenga vituo sawa na tulivyojenga tangu uhuru.

#TikiKwaSamia
mmekuja sasa
 
Mkuu yani kutoka Rpc mpaka kuwa Security Mwnager wa mgodi daah hii ni hatari sana, Cheo cha Security Manager wa GGM ata Mlinzi wa Garda anaweza kupata.
acha ushamba bwana mdogo,mfano kastaafu u rpc,anakula pensheni na huku kwenye usecuruty manage anakuwa anazuga,kinachomata hela anayoingiza,utashangaa anavuta mil 2 kwa mwez na yy ni kutoa maelekezo kwa ma supervisor tuu
 
Mpaka leo siamini niliponyokaje kwenye mikono ya Muroto alipokua OCS wa kituo cha Mwatex Mwanza, mwaka 2003,, na msala ilikua ni kumtia mimba binti wa wa form 2,, nitaleta uzi hapa JF
 
Sirro akiwa RPC Mwanza alikuwa Mzee wa kazi na ni kati ya MaRPC walikuwa wazuri sana

Tibaigana nikiwa bado kachalii nilipenda sana zipe Press zake

Msangi akiwa Mwanza ila yule hata Muonekano tu ni mtata

Afande Giles Muroto nilikuwa nacheka tu

Kuna Mwingine alikuwa Njombe ni wajuzi juzi tu hata Mwaka haujaisha toka nimjue anapress kama mpemba hivi
msangi
Mpaka leo siamini niliponyokaje kwenye mikono ya Muroto alipokua OCS wa kituo cha Mwatex Mwanza, mwaka 2003,, na msala ilikua ni kumtia mimba binti wa wa form 2,, nitaleta uzi hapa JF
hv kumbe mzee ni mtata? mbona kama alikua anaongea sana
 
Hello wazee,ni kitambo kama maajabu kutowaona katika pilika pilika za polisi hawa makamanda maana kama wengekuwa ma RPC basi tungesikia tu au kama wanapewa au kuhamishwa vitengo maana kiutaratibu inapotokea kiongozi anahamishwa au kupewa kijiti tunataarifiwa wazi.

1.Kamanda AHMED MSANGI,jembe langu sana hili,wengi tulilifahamu,jamaa katembea sehemu ngumu ngumu kama RPC na mara ya mwisho alitokea MBEYA akatupwa MWANZA na cheo cha kamishna msaidizi.Vipi huyu bwana yu wapi? kastaafu au? .2.Kuna bwana mmoja wa kuitwa NSATO MARIJANI alishawahi kuwa kamanda wa operation na mafunzo kipindi cha magufuli,na inasemekana walihenya jkt pamoja na magufuli,alipotea ghafla tuu baada ya kumpa kijiti mzee LIBERATUS SABAS.

3.MZEE WETU MUROTO japo alikuwa anazingua sana,kwa kuwadhalilisha watuhumiwa mitandaoni na kwenye press vipi nae yu wapi?

4.Vipi kuhusu mzee MAMBOSASA maana mara ya mwisho sirro alimtoa DSm na kumpeleka CCP MOSHI kama mkuu wa chuo ila kwa sasa kuna mkuu wa chuo mwingine pale.
5ABDULLRAHMAN KANIKI alikuwaga naibu IGP miaka mingi tangu kwa igp mwema hadi ernest mangu pale.

Tumwage mchele,si kwa ubaya ni story tuu za hapa na pale na. kama kuna wengine tuwataje,polisi ni chombo chetu japo kuna kukwazana.
Wako bize na majukum mengine ya kikazi
 
Mambosasa aliharibiwa na awamu ya tano na mwanzoni mwa hii ya 6. Ila kiasili ni mtu poa sana, anapenda kushirikiana na jamii kuimarisha ulinzi
Kuanzia pale aliposema " Yule Anayejiita Askofu.......tumemkamata"

Si vizuri kuwadhihaki watumishi wa kweli wa Mungu. Wale hawauzi mafuta wala vitambaa vya miujiza.
 
Mzee Mambosasa yupo amefungua sehemu nzuri sana hapa mjini Kuna ukumbi wa sherehe, bar, restaurant, mazingira mazuri na Kuna swimming pool pamoja na sehemu za kuchezea watoto. Mara nyingi tunakula na kupiga bia moja mbili tatu katika bar yake tukiwa na familia. Akiwakuta atakuja katika meza atawasalimia kwa heshima, kuwakaribisha na kuwashukuru kwa kuja yupo very humble.
.mambo Sasa alkuwa mtu mwema sana
 
Back
Top Bottom