feitty
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 2,594
- 4,198
Maisha ni kusaidiana yes na inapendeza kumsaidia mmeo.Ili maendeleo yapatikane mwanamke pia anatakiwa ajitoe kwa hali na mali kumsaidia mumewe.Tatizo ni kuwa kuna baadhi ya wanaume wakisaidiwa wanabweteka na kuanza dharau.Mwengine hadi anafikia hatua ya kuukontrol mshahara wa mwenzie kama wake badala ya kukaa na kushauriana