Leo ni siku ya tatu mpenzi wangu bado kasusa kunitakia heri ya mwaka mpya

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Ndugu zangu.

Wanawake jueni wanaume tuna moyo wa nyama na tunaumia sana ni vile tuu hatuwezi kusema hadharani.

Nimeamua kunyamaza ila moyoni na umia sana, mwanamke wangu kasusa kabisa kunitakia hata heri ya mwaka mpya na leo ni siku ya tatu mfukulizo, kasusa kuniombea baraka na anajikuta mjanja tuu ananiumiza sana kihisia ila najikaza mno haijalishi mimi ni mgumu kivipi ila kitendo cha kutokutamkiwa "heri ya mwaka mpya na mwanamke wangu kinaniuma sana moyoni" japo usoni na mchekea ila hamna jinsi. Hatakama sikumpa hela ya sikukuu ya mwaka mpya kitendo chakuto nitakia heri kinaumiza sana

Dada zangu na mama zangu sisi wanaume tuna mioyo natunaumia pia tena sana tuu sema kwa nje hatuonyeshi kama tunaumia ,

Naombeni baraka zenu na ushauri wenu wakuu maana naona kabisa nakosa uvumilivu, haiwezekani kabisa mwanamke wangu agome kabisa kunitakia heri ya mwaka mpya.
 
Ushapigwa na kityu kizito
 
Pengine ana mambo yake binafsi au amesahau. Unaweza kumtumia ujumbe wa heri ya mwaka mpya na kumkumbusha jinsi unavyomjali. Hata hivyo, ni muhimu kuelewa kwamba watu wanaweza kuwa na sababu tofauti za kutokutakia heri ya mwaka mpya.Haya majibu kanipa Akili bandia au ChatGPT.
 
Gia imebadilishwa angani, usikute umelia mwanaume mzima. Sex is an illusion unaweza kuwa mtumwa hadi ukanusa na kufua chupi za baby. Nyege mbaya sana dronedrake mzee wa nyeto
follow no fap
 
Siwezi kulia mkuu ila kumbuka huu ni mwaka mpya hata heri tuu inatosha.. mara mia angenyanduliwa nijue moja ila siyo kunisusia kunitamkia heri ya mwaka mpya kisa tuu sijampa hela ya sherehe ya mwaka mpya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom