Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,579
- 55,632
.. na mwanamke aliwekwa kumfariji mwanaume :eek2:
ndioooo
.. na mwanamke aliwekwa kumfariji mwanaume :eek2:
Mi nachokaga kitu kimoja, akiwa peke yake anaishi kwa hela zake mwenyewe ni mbahili balaaa, sasa muoe weeeeee!!! matumizi anafanya kujiachia tu, daaah!!
Mpendwa unaongelea hilo kwenye u boyfriend girlfriend au kwenye ndoa?. Boyfriend simlei, akikwamaaa ntamtafutia sehemu amazing ya kukopa. Ila kwa mume wangu najiongeza mapema. Maisha magumu haya, sio wanaume wote ni kina Reginald Mengi kwamba wataafford each and everything on their own
Mpendwa unaongelea hilo kwenye u boyfriend girlfriend au kwenye ndoa?. Boyfriend simlei, akikwamaaa ntamtafutia sehemu amazing ya kukopa. Ila kwa mume wangu najiongeza mapema. Maisha magumu haya, sio wanaume wote ni kina Reginald Mengi kwamba wataafford each and everything on their own
mwanamke alikuwa mama yangu tu....
Ameen.
Ila kuna wanawake wapo sijui nadhani kwa sababu za kumkomoa wanaume zao au? Wanashindwa kuendana na mabadiliko ya kiuchumi na kimaisha kwa ujumla. Wanashindwa ku realize kwamba kwa wakati huu, na sio kwa kipind kingine chochote kile kwamba role ya mwanamke sio tu kupika, kuzaa bali pamoja na kuwa msaidizi ila zaidi financial assistance kwa mume....
Teh teh teh
Kaka mtumishi maisha ya sasa hivi pasipo kusaidiana sijui. Na kinachotukwamisha zaidi ni nature yetu waafrika Ya "utegemezi". Mtu mmoja anabeba majukumu ya watu 15 Mmh. Wengine wamebahatika lakini, waume zao wana-manage kila kitu. Ukoo Ukikutana ni kupanga tu vacation. Mwisho wa siku wewe mwenyewe ndo utaamua kama umsaidie or usimsaidie huyo mumeo.
Shortly kwamba wanawake ni wabinafsi mno kuliko viumbee wengne wote, sijui kwanin
Na wanaume wabinafsi wapo pia ujue. Ni kumuomba tu Mungu asikupe mwenza mbinafsi, utajuta
Mhm wee ulishabugi mennnn....mwanaume yoyote lazima ajue kuwa pesa ya mwanamke ni kwa ajili ya yeye peke yake i.e to luk sexy.
Ada ya shule, matibabu, chalula, kumnunulia gari na kutia mafuta, outings, holidays, financial problems za familia yake na mengineyo ni jukumu la wewe mume. Ukilijua hilo wala hutapata presha nao.
Wee kazi yako hapo ni kuhakikisha haleti uzembe kwenye idara yake ya kuwa sexy nd presantable na kutotoa watoto na kuwalea vizuri...huo ndio msaada wa mke.
Koh koh koh.... Mwanaume aliwekwa kumtunza mwanamke