Wakinadada ni wabahili jamani

Wakinadada ni wabahili jamani

ninaweza kuwa sina na bado nikafanya namna ya kumsaidia apate hiyo pesa anayoihitaji, kama ambavyo yeye hapendi kuona sina hela ndivyo ambavyo sipendi kumuona hana pesa.
Niko hivyo hivyo sijawahi kubadilika since then, namnunulia zawadi, sometimes na clear bill, am that independent and am happy.
Sema kipindi nipo chuo nilimdate mkaka mmoja hivi akatangazia wenzie kuwa namuhonga, nilimuacha siku hiyo hiyo. Nikagundua ukidate na mtu ambaye hajakua ni tatizo sana, since there sikuwahi kuwa na mtu ambaye akili yake haijakomaa.

wow that's good........,am proud of you kwakweli
ni kwa yule yule kijana wetu (i hope unakumbuka nnaemaanisha lol)
 
Back
Top Bottom