Ramon Abbas JF-Expert Member May 4, 2021 1,964 3,900 Dec 5, 2021 #1 Hii comment nimeikuta hapa hapa kwa Jf, the home of GT's. Hivi nyie wakenya huwa mnafikiri kwa kutumia nini wakati mwingine? .... Hii ndio Nakuru mdau anasema huo mji mkubwa kuliko huu hapa (Atlanta)
Hii comment nimeikuta hapa hapa kwa Jf, the home of GT's. Hivi nyie wakenya huwa mnafikiri kwa kutumia nini wakati mwingine? .... Hii ndio Nakuru mdau anasema huo mji mkubwa kuliko huu hapa (Atlanta)
R Retired JF-Expert Member Jul 22, 2016 40,410 74,047 Dec 5, 2021 #3 X wangu said: Hii comment nimeikuta hapa hapa kwa Jf, the home of GT's. View attachment 2033866 Hivi nyie wakenya huwa mnafikiri kwa kutumia nini wakati mwingine? .... Hii ndio Nakuru View attachment 2033867 mdau anasema huo mji mkubwa kuliko huu hapa (Atlanta) View attachment 2033868 Click to expand... nadhani area wise...Nakuru limji lina eneo kubwa bali ni nyumba mbavu za mbwa. Atlant mji eneo dogo lakini majumba ya kutisha na miundombinu world class sasa hapo unasemea lipi?
X wangu said: Hii comment nimeikuta hapa hapa kwa Jf, the home of GT's. View attachment 2033866 Hivi nyie wakenya huwa mnafikiri kwa kutumia nini wakati mwingine? .... Hii ndio Nakuru View attachment 2033867 mdau anasema huo mji mkubwa kuliko huu hapa (Atlanta) View attachment 2033868 Click to expand... nadhani area wise...Nakuru limji lina eneo kubwa bali ni nyumba mbavu za mbwa. Atlant mji eneo dogo lakini majumba ya kutisha na miundombinu world class sasa hapo unasemea lipi?
maroon7 JF-Expert Member Nov 3, 2010 11,144 15,145 Dec 5, 2021 #4 I like jinsi wakenya wanavyojivuniaga vitu vyao hata kama vibovu....wabongo tupo kinyume...kitu hata kiwe kizuri full kuponda...sijui tumelogezewa
I like jinsi wakenya wanavyojivuniaga vitu vyao hata kama vibovu....wabongo tupo kinyume...kitu hata kiwe kizuri full kuponda...sijui tumelogezewa
dudus JF-Expert Member Feb 28, 2011 22,130 49,391 Dec 5, 2021 #5 ... inategemea vigezo alivyozingatia kufikia hitimisho. Population ya Atlanta vs Nakuru ikoje?
Lecheminduroi JF-Expert Member Aug 24, 2018 1,184 3,577 Dec 5, 2021 #6 Halafu unakuta wewe ndio wale think tank ya CCM, yaani hata kingereza cha "nursery" hicho hujaelewa!
olele JF-Expert Member Dec 2, 2010 1,303 1,559 Dec 5, 2021 #7 na ndo maana wakenya wanatuona sisi ni wajinga.... Mtu amekuambia kabisa Ukuwa wa eneo wewe unalinganisha na magorofa
na ndo maana wakenya wanatuona sisi ni wajinga.... Mtu amekuambia kabisa Ukuwa wa eneo wewe unalinganisha na magorofa
Unavoidable Servant JF-Expert Member Oct 13, 2021 1,288 3,278 Dec 5, 2021 #8 X wangu said: Hii comment nimeikuta hapa hapa kwa Jf, the home of GT's. View attachment 2033866 Hivi nyie wakenya huwa mnafikiri kwa kutumia nini wakati mwingine? .... Hii ndio Nakuru View attachment 2033867 mdau anasema huo mji mkubwa kuliko huu hapa (Atlanta) Click to expand... X wangu said: View attachment 2033868 Click to expand... Shida ya JF ukishapost thread ni mali ya JF, huna access ya kuweza kuifuta. Kwahiyo kaa kwa kutulia usubiri kuchekwa kwa pumba ulizopost hapa, siku nyingine ndio utajuwa tofauti ya mitandao ya Meta na JF.
X wangu said: Hii comment nimeikuta hapa hapa kwa Jf, the home of GT's. View attachment 2033866 Hivi nyie wakenya huwa mnafikiri kwa kutumia nini wakati mwingine? .... Hii ndio Nakuru View attachment 2033867 mdau anasema huo mji mkubwa kuliko huu hapa (Atlanta) Click to expand... X wangu said: View attachment 2033868 Click to expand... Shida ya JF ukishapost thread ni mali ya JF, huna access ya kuweza kuifuta. Kwahiyo kaa kwa kutulia usubiri kuchekwa kwa pumba ulizopost hapa, siku nyingine ndio utajuwa tofauti ya mitandao ya Meta na JF.
Supu ya kokoto JF-Expert Member Aug 20, 2013 3,731 6,786 Dec 5, 2021 #9 Hajasema nakuru ni kubwa kuliko atalanta....."it would be".....kizungu tabu sana
Niwaheri JF-Expert Member May 2, 2020 1,767 2,763 Dec 5, 2021 #10 Dah,umetuvua nguo jf,em rudi shule kasome nina uhakika utaukimbia uzi wako
Naanto Mushi JF-Expert Member Oct 16, 2015 6,236 15,603 Dec 5, 2021 #11 Nasubiri comments za waliofika nakuru
Auz JF-Expert Member Apr 6, 2016 13,188 10,915 Dec 6, 2021 #12 X wangu said: Hii comment nimeikuta hapa hapa kwa Jf, the home of GT's. View attachment 2033866 Hivi nyie wakenya huwa mnafikiri kwa kutumia nini wakati mwingine? .... Hii ndio Nakuru View attachment 2033867 mdau anasema huo mji mkubwa kuliko huu hapa (Atlanta) View attachment 2033868 Click to expand... Inawezekana kwa ukubwa wa eneo, na sio Kwa uzuri au shughuli za kiuchumi.
X wangu said: Hii comment nimeikuta hapa hapa kwa Jf, the home of GT's. View attachment 2033866 Hivi nyie wakenya huwa mnafikiri kwa kutumia nini wakati mwingine? .... Hii ndio Nakuru View attachment 2033867 mdau anasema huo mji mkubwa kuliko huu hapa (Atlanta) View attachment 2033868 Click to expand... Inawezekana kwa ukubwa wa eneo, na sio Kwa uzuri au shughuli za kiuchumi.
pingli-nywee JF-Expert Member Sep 16, 2015 11,923 13,344 Dec 6, 2021 #13 Lecheminduroi said: Halafu unakuta wewe ndio wale think tank ya CCM, yaani hata kingereza cha "nursery" hicho hujaelewa! Click to expand... Wavumilie tu jombaa, mama yupo usukani sasa. Ana kibarua kigumu sana ila mwishowe labda mambo yatakuwa sawa, inshaalah.
Lecheminduroi said: Halafu unakuta wewe ndio wale think tank ya CCM, yaani hata kingereza cha "nursery" hicho hujaelewa! Click to expand... Wavumilie tu jombaa, mama yupo usukani sasa. Ana kibarua kigumu sana ila mwishowe labda mambo yatakuwa sawa, inshaalah.