Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 12,416
- 30,932
Mbowe amekosa Nini yarabii kwenye hiyo Post?Inakusaidia nini wewe mwanachadema unayemuabudu Mbowe

Corona imewanyima VISA hao wamarekani na wa ulaya wasije kwetu! Wakae kwao nasi tukae kwetu.Kwa yanayoendelea katika Taifa fulani,yanatoa kila sababu kwa Bwana wakubwa wa huu Ulimwengu kuingilia kati na kuchukua hatua.Hatu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na kuwafungia viongozi wa nchi hiyo kutosafiri kwenda Marekani na baadhi ya nchi za ulaya au nchi wahisani kusitisha misaada na mikopo kwa nchi hiyo(jina kapuni).
Kadri siku zinavyokwenda,viongozi wa Taifa hilo wanaonekana kufanya mambo yasiyoendana na ustaarabu wa dunia ya leo hivyo sidhani kama watavumiliwa maana leo utasikia hili, kesho utasikia lile,mtondogoo lingine mradi ni bandika bandua.
Anyway,labda wamenyimwa maarifa na kutiwa upofu ili wao na chama chao waanguke.
Time will tell.
Zimbabwe anadunda? Sidhani kama una akili sawasawa...Tuliwahi kusema USA ni Nchi ya wajinga
Chukulia mfano Venezuela
USA alijitoa ufahamu wakamtambua mpinzani km kiongozi wa nchi wakamjaza ujinga hadi akaisaliti Nchi yake
Lkn wakashindwa kumtoa madarakani Rais
Leo hii Trump anaomba mazungumzo na maduro Rais wa Venezuela yule waliyekuwa wakimvizia usiku na mchana kumtoa madarakani
Nchi za Africa zijitambue ziachane na usa zishirikiane na Urusi, China, Brazil, Iran na North korea hawa wajinga wa USA wampoteze ushawishi sasa hivi duniani
Wameiangamiza libya imebaki gofu bado wanaleta ujinga wao tena
Zama za USA zimeisha kama hadi Iran imemweka kati atamtisha nani?
Zimbabwe amewekewa vikwazo miaka nenda rudi ila wanadunda tu, USA akajifie mbele kule zama zake zimeisha
Tuliwahi kusema USA ni Nchi ya wajinga

Ila tuwe wakweli, tunaishi maisha yasiyokuwa na ustaarabu kabisa. Mtu anakuwa adui yako kwa sababu tu ana mawazo tofauti na wewe?Wewe nae unatupigia kelele hapa...Sasa wakikatazwa kwenda huko watakosa Oksijeni Mkuu!! Hebu Punguza ujinga!! Sehemu za kwenda zipo nyingi tu!!!
Huyo ndio atakayefungiwa kwenda US?
Avatar yako inaonesha wewe ni mvuta bangi.Hii picha ipo mpaka kwenye mafaili ya chadema
Ameongelea vikwazo pia. The route we are taking is going to cost us dearly, we may laugh, but its never a laughing matter.Kufungiwa kusafiri inaweza isiwe adhabu maana hata wenyewe hatupendi kwenda kwa watu.
Hii inaweza kuwaumiza wale wanaoyatumikia hayo mataifa yanayopanga kuweka vizuizi maana safari biashara biashara yao imeharibikaa
Na vipi kuhusu misaada, au tunajitegemea? The last time i read, Zimbabwe was one of the richest countries in Africa before the sanctions.Ewe kamshahara, ulaya na usa si kwa baba yetu wala mama yetu. Nikitaka kupumzika naenda kijijini Machame
Huhitaji kuiombea nchi mabaya, yanayotendwa ndio yanaleta clear picture tunakoelekeaLipe vidonge vyake hilo lichadema. Limekalia kuombea nchi yake mabaya kila siku.
.Kwa yanayoendelea katika Taifa fulani,yanatoa kila sababu kwa Bwana wakubwa wa huu Ulimwengu kuingilia kati na kuchukua hatua.Hatu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na kuwafungia viongozi wa nchi hiyo kutosafiri kwenda Marekani na baadhi ya nchi za ulaya au nchi wahisani kusitisha misaada na mikopo kwa nchi hiyo(jina kapuni).
Kadri siku zinavyokwenda,viongozi wa Taifa hilo wanaonekana kufanya mambo yasiyoendana na ustaarabu wa dunia ya leo hivyo sidhani kama watavumiliwa maana leo utasikia hili, kesho utasikia lile,mtondogoo lingine mradi ni bandika bandua.
Anyway,labda wamenyimwa maarifa na kutiwa upofu ili wao na chama chao waanguke.
Time will tell.
mbona kuna Phd wanafikiri kama darasa la sabaHuyu mwanafunzi sijui huko chuoni anasoma saa ngapi.
Mbona pesa zao mnapokea pimbii endeleeni kumjaza ujinga bwana enuu pimbiii wewe. Hii nchi haiwezi kuendeshwa kama familiq ya m2 binafsi. Bila shaka mnadhani kumdhibiti Mbowe ndio tija sasa tulieni the end of this shit has been so closed!! FvckTuliwahi kusema USA ni Nchi ya wajinga
Chukulia mfano Venezuela
USA alijitoa ufahamu wakamtambua mpinzani km kiongozi wa nchi wakamjaza ujinga hadi akaisaliti Nchi yake
Lkn wakashindwa kumtoa madarakani Rais
Leo hii Trump anaomba mazungumzo na maduro Rais wa Venezuela yule waliyekuwa wakimvizia usiku na mchana kumtoa madarakani
Nchi za Africa zijitambue ziachane na usa zishirikiane na Urusi, China, Brazil, Iran na North korea hawa wajinga wa USA wampoteze ushawishi sasa hivi duniani
Wameiangamiza libya imebaki gofu bado wanaleta ujinga wao tena
Zama za USA zimeisha kama hadi Iran imemweka kati atamtisha nani?
Zimbabwe amewekewa vikwazo miaka nenda rudi ila wanadunda tu, USA akajifie mbele kule zama zake zimeisha
Kwani huko ulaya na marekani ni peponi?Kwa yanayoendelea katika Taifa fulani,yanatoa kila sababu kwa Bwana wakubwa wa huu Ulimwengu kuingilia kati na kuchukua hatua.Hatu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na kuwafungia viongozi wa nchi hiyo kutosafiri kwenda Marekani na baadhi ya nchi za ulaya au nchi wahisani kusitisha misaada na mikopo kwa nchi hiyo(jina kapuni).
Kadri siku zinavyokwenda,viongozi wa Taifa hilo wanaonekana kufanya mambo yasiyoendana na ustaarabu wa dunia ya leo hivyo sidhani kama watavumiliwa maana leo utasikia hili, kesho utasikia lile,mtondogoo lingine mradi ni bandika bandua.
Anyway,labda wamenyimwa maarifa na kutiwa upofu ili wao na chama chao waanguke.
Time will tell.
Itakuwa anasomea international relations...Huyu mwanafunzi sijui huko chuoni anasoma saa ngapi.
zimbabwe wanadunda? uchumi wao uko juu sana na wananchi ni matajiri?Tuliwahi kusema USA ni Nchi ya wajinga
Chukulia mfano Venezuela
USA alijitoa ufahamu wakamtambua mpinzani km kiongozi wa nchi wakamjaza ujinga hadi akaisaliti Nchi yake
Lkn wakashindwa kumtoa madarakani Rais
Leo hii Trump anaomba mazungumzo na maduro Rais wa Venezuela yule waliyekuwa wakimvizia usiku na mchana kumtoa madarakani
Nchi za Africa zijitambue ziachane na usa zishirikiane na Urusi, China, Brazil, Iran na North korea hawa wajinga wa USA wampoteze ushawishi sasa hivi duniani
Wameiangamiza libya imebaki gofu bado wanaleta ujinga wao tena
Zama za USA zimeisha kama hadi Iran imemweka kati atamtisha nani?
Zimbabwe amewekewa vikwazo miaka nenda rudi ila wanadunda tu, USA akajifie mbele kule zama zake zimeisha
Mzungu hawezi acha kutoa misaada. Hatuna Uzimbabwe na hatuwezi kufikia huko, huo ni mtizamo wako wa kinafiki.Na vipi kuhusu misaada, au tunajitegemea? The last time i read, Zimbabwe was one of the richest countries in Africa before the sanctions.