Wakati wowote kuanzia sasa, viongozi wa nchi fulani wanaweza kuwekea vikwazo vya kusafiri katika nchi za Ulaya na Marekani kama sio kunyimwa misaada

Kwa yanayoendelea katika Taifa fulani,yanatoa kila sababu kwa Bwana wakubwa wa huu Ulimwengu kuingilia kati na kuchukua hatua.Hatu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na kuwafungia viongozi wa nchi hiyo kutosafiri kwenda Marekani na baadhi ya nchi za ulaya au nchi wahisani kusitisha misaada na mikopo kwa nchi hiyo(jina kapuni).

Kadri siku zinavyokwenda,viongozi wa Taifa hilo wanaonekana kufanya mambo yasiyoendana na ustaarabu wa dunia ya leo hivyo sidhani kama watavumiliwa maana leo utasikia hili, kesho utasikia lile,mtondogoo lingine mradi ni bandika bandua.

Anyway,labda wamenyimwa maarifa na kutiwa upofu ili wao na chama chao waanguke.

Time will tell.
Corona imewanyima VISA hao wamarekani na wa ulaya wasije kwetu! Wakae kwao nasi tukae kwetu.
 
Chuki inayochochewa itatuumiza wote, tumaini langu lipo kwa Mwenyezi Mungu mwingi wa maarifa na rehema, basi tuombe,

Eeh Mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na nchi mwingi wa maarifa na rehema tujalie subira, tujalie maarifa watawala na watawaliwa, wanaccm na wapinzani tukatambue sisi ni ndugu, sisi wote tuna damu na ni watanzania tulio amua kuapa kuilinda katiba au tunaotakiwa kuifuata katiba, baadhi tuliopewa majukumu ya kutenda haki tukumbushe kutenda hiyo haki, tukumbushe viapo vyetu, tukumbushe wajibu wetu, na kwa uwezo wako mkuu tuna amini fitina za yule mwovu Shetani zitashindwa, Amen.
 
Tuliwahi kusema USA ni Nchi ya wajinga

Chukulia mfano Venezuela
USA alijitoa ufahamu wakamtambua mpinzani km kiongozi wa nchi wakamjaza ujinga hadi akaisaliti Nchi yake

Lkn wakashindwa kumtoa madarakani Rais

Leo hii Trump anaomba mazungumzo na maduro Rais wa Venezuela yule waliyekuwa wakimvizia usiku na mchana kumtoa madarakani

Nchi za Africa zijitambue ziachane na usa zishirikiane na Urusi, China, Brazil, Iran na North korea hawa wajinga wa USA wampoteze ushawishi sasa hivi duniani

Wameiangamiza libya imebaki gofu bado wanaleta ujinga wao tena

Zama za USA zimeisha kama hadi Iran imemweka kati atamtisha nani?

Zimbabwe amewekewa vikwazo miaka nenda rudi ila wanadunda tu, USA akajifie mbele kule zama zake zimeisha
Zimbabwe anadunda? Sidhani kama una akili sawasawa...
 
Masikini hujijui hujitambui
Tuliwahi kusema USA ni Nchi ya wajinga

Chukulia mfano Venezuela
USA alijitoa ufahamu wakamtambua mpinzani km kiongozi wa nchi wakamjaza ujinga hadi akaisaliti Nchi yake

Lkn wakashindwa kumtoa madarakani Rais

Leo hii Trump anaomba mazungumzo na maduro Rais wa Venezuela yule waliyekuwa wakimvizia usiku na mchana kumtoa madarakani

Nchi za Africa zijitambue ziachane na usa zishirikiane na Urusi, China, Brazil, Iran na North korea hawa wajinga wa USA wampoteze ushawishi sasa hivi duniani

Wameiangamiza libya imebaki gofu bado wanaleta ujinga wao tena

Zama za USA zimeisha kama hadi Iran imemweka kati atamtisha nani?

Zimbabwe amewekewa vikwazo miaka nenda rudi ila wanadunda tu, USA akajifie mbele kule zama zake zimeisha
 
Wewe nae unatupigia kelele hapa...Sasa wakikatazwa kwenda huko watakosa Oksijeni Mkuu!! Hebu Punguza ujinga!! Sehemu za kwenda zipo nyingi tu!!!
Ila tuwe wakweli, tunaishi maisha yasiyokuwa na ustaarabu kabisa. Mtu anakuwa adui yako kwa sababu tu ana mawazo tofauti na wewe?

Haya yangefanyika miaka ya 1960s angalau tungeelewa lakini sio leo. We are too uncivilised, to be frank with you.
 
Kufungiwa kusafiri inaweza isiwe adhabu maana hata wenyewe hatupendi kwenda kwa watu.
Hii inaweza kuwaumiza wale wanaoyatumikia hayo mataifa yanayopanga kuweka vizuizi maana safari biashara biashara yao imeharibikaa
Ameongelea vikwazo pia. The route we are taking is going to cost us dearly, we may laugh, but its never a laughing matter.

Kuna mahali tumekosea, hii sio nchi niliyokuwa naitarajia.
 
Ewe kamshahara, ulaya na usa si kwa baba yetu wala mama yetu. Nikitaka kupumzika naenda kijijini Machame
Na vipi kuhusu misaada, au tunajitegemea? The last time i read, Zimbabwe was one of the richest countries in Africa before the sanctions.
 
Kwa yanayoendelea katika Taifa fulani,yanatoa kila sababu kwa Bwana wakubwa wa huu Ulimwengu kuingilia kati na kuchukua hatua.Hatu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na kuwafungia viongozi wa nchi hiyo kutosafiri kwenda Marekani na baadhi ya nchi za ulaya au nchi wahisani kusitisha misaada na mikopo kwa nchi hiyo(jina kapuni).

Kadri siku zinavyokwenda,viongozi wa Taifa hilo wanaonekana kufanya mambo yasiyoendana na ustaarabu wa dunia ya leo hivyo sidhani kama watavumiliwa maana leo utasikia hili, kesho utasikia lile,mtondogoo lingine mradi ni bandika bandua.

Anyway,labda wamenyimwa maarifa na kutiwa upofu ili wao na chama chao waanguke.

Time will tell.
.
1592413160364.jpg
 
Tuliwahi kusema USA ni Nchi ya wajinga

Chukulia mfano Venezuela
USA alijitoa ufahamu wakamtambua mpinzani km kiongozi wa nchi wakamjaza ujinga hadi akaisaliti Nchi yake

Lkn wakashindwa kumtoa madarakani Rais

Leo hii Trump anaomba mazungumzo na maduro Rais wa Venezuela yule waliyekuwa wakimvizia usiku na mchana kumtoa madarakani

Nchi za Africa zijitambue ziachane na usa zishirikiane na Urusi, China, Brazil, Iran na North korea hawa wajinga wa USA wampoteze ushawishi sasa hivi duniani

Wameiangamiza libya imebaki gofu bado wanaleta ujinga wao tena

Zama za USA zimeisha kama hadi Iran imemweka kati atamtisha nani?

Zimbabwe amewekewa vikwazo miaka nenda rudi ila wanadunda tu, USA akajifie mbele kule zama zake zimeisha
Mbona pesa zao mnapokea pimbii endeleeni kumjaza ujinga bwana enuu pimbiii wewe. Hii nchi haiwezi kuendeshwa kama familiq ya m2 binafsi. Bila shaka mnadhani kumdhibiti Mbowe ndio tija sasa tulieni the end of this shit has been so closed!! Fvck
 
Kwa yanayoendelea katika Taifa fulani,yanatoa kila sababu kwa Bwana wakubwa wa huu Ulimwengu kuingilia kati na kuchukua hatua.Hatu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na kuwafungia viongozi wa nchi hiyo kutosafiri kwenda Marekani na baadhi ya nchi za ulaya au nchi wahisani kusitisha misaada na mikopo kwa nchi hiyo(jina kapuni).

Kadri siku zinavyokwenda,viongozi wa Taifa hilo wanaonekana kufanya mambo yasiyoendana na ustaarabu wa dunia ya leo hivyo sidhani kama watavumiliwa maana leo utasikia hili, kesho utasikia lile,mtondogoo lingine mradi ni bandika bandua.

Anyway,labda wamenyimwa maarifa na kutiwa upofu ili wao na chama chao waanguke.

Time will tell.
Kwani huko ulaya na marekani ni peponi?
Uzuri kwa viongozi wa Tanzania walishapigwa marufuku ya kwenda ulaya toka mwaka 2015,kama hiyo.nchi itakua ni Tanzania itakua poa tu
 
Tuliwahi kusema USA ni Nchi ya wajinga

Chukulia mfano Venezuela
USA alijitoa ufahamu wakamtambua mpinzani km kiongozi wa nchi wakamjaza ujinga hadi akaisaliti Nchi yake

Lkn wakashindwa kumtoa madarakani Rais

Leo hii Trump anaomba mazungumzo na maduro Rais wa Venezuela yule waliyekuwa wakimvizia usiku na mchana kumtoa madarakani

Nchi za Africa zijitambue ziachane na usa zishirikiane na Urusi, China, Brazil, Iran na North korea hawa wajinga wa USA wampoteze ushawishi sasa hivi duniani

Wameiangamiza libya imebaki gofu bado wanaleta ujinga wao tena

Zama za USA zimeisha kama hadi Iran imemweka kati atamtisha nani?

Zimbabwe amewekewa vikwazo miaka nenda rudi ila wanadunda tu, USA akajifie mbele kule zama zake zimeisha
zimbabwe wanadunda? uchumi wao uko juu sana na wananchi ni matajiri?
 
Na vipi kuhusu misaada, au tunajitegemea? The last time i read, Zimbabwe was one of the richest countries in Africa before the sanctions.
Mzungu hawezi acha kutoa misaada. Hatuna Uzimbabwe na hatuwezi kufikia huko, huo ni mtizamo wako wa kinafiki.
 
Back
Top Bottom