Wakati wowote kuanzia sasa, viongozi wa nchi fulani wanaweza kuwekea vikwazo vya kusafiri katika nchi za Ulaya na Marekani kama sio kunyimwa misaada

Kwa yanayoendelea katika Taifa fulani,yanatoa kila sababu kwa Bwana wakubwa wa huu Ulimwengu kuingilia kati na kuchukua hatua.Hatu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na kuwafungia viongozi wa nchi hiyo kutosafiri kwenda Marekani na baadhi ya nchi za ulaya au nchi wahisani kusitisha misaada na mikopo kwa nchi hiyo(jina kapuni).

Kadri siku zinavyokwenda,viongozi wa Taifa hilo wanaonekana kufanya mambo yasiyoendana na ustaarabu wa dunia ya leo hivyo sidhani kama watavumiliwa maana leo utasikia hili, kesho utasikia lile,mtondogoo lingine mradi ni bandika bandua.

Anyway,labda wamenyimwa maarifa na kutiwa upofu ili wao na chama chao waanguke.

Time will tell.

Kila siku mnaota kupigwa mkishalewa faru john,
Sasa umeshalewa chakari unaota vikwazo,
Kama unavipenda si ujiwekee na mkeo.
 
Dr slaa na zitto wameacha wajinga watupu kwenye chama

Sasa hivi ukimsikiliza maalimu seif unapata clear dfn ya upinzani

huku cdm wamebaki wachumia tumb na watumishi wa west

Gazeti linaandika uzushi mnataka mchekewe? this is not Banana Republic.
 
Tuliwahi kusema USA ni Nchi ya wajinga

Chukulia mfano Venezuela
USA alijitoa ufahamu wakamtambua mpinzani km kiongozi wa nchi wakamjaza ujinga hadi akaisaliti Nchi yake

Lkn wakashindwa kumtoa madarakani Rais

Leo hii Trump anaomba mazungumzo na maduro Rais wa Venezuela yule waliyekuwa wakimvizia usiku na mchana kumtoa madarakani

Nchi za Africa zijitambue ziachane na usa zishirikiane na Urusi, China, Brazil, Iran na North korea hawa wajinga wa USA wampoteze ushawishi sasa hivi duniani

Wameiangamiza libya imebaki gofu bado wanaleta ujinga wao tena

Zama za USA zimeisha kama hadi Iran imemweka kati atamtisha nani?

Zimbabwe amewekewa vikwazo miaka nenda rudi ila wanadunda tu, USA akajifie mbele kule zama zake zimeisha

hujui ulisemalo wewe sijui unaropoka kwa kutumia mdomo gani
 
Kwa yanayoendelea katika Taifa fulani,yanatoa kila sababu kwa Bwana wakubwa wa huu Ulimwengu kuingilia kati na kuchukua hatua.Hatu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na kuwafungia viongozi wa nchi hiyo kutosafiri kwenda Marekani na baadhi ya nchi za ulaya au nchi wahisani kusitisha misaada na mikopo kwa nchi hiyo(jina kapuni).

Kadri siku zinavyokwenda,viongozi wa Taifa hilo wanaonekana kufanya mambo yasiyoendana na ustaarabu wa dunia ya leo hivyo sidhani kama watavumiliwa maana leo utasikia hili, kesho utasikia lile,mtondogoo lingine mradi ni bandika bandua.

Anyway,labda wamenyimwa maarifa na kutiwa upofu ili wao na chama chao waanguke.

Time will tell.
Ama kwa hakika unafiki ni jambo baya sana unamkusudia kuwekewa vikwazo hata hata muda wa kwenda huko unakosma
 
Kwa yanayoendelea katika Taifa fulani,yanatoa kila sababu kwa Bwana wakubwa wa huu Ulimwengu kuingilia kati na kuchukua hatua.Hatu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na kuwafungia viongozi wa nchi hiyo kutosafiri kwenda Marekani na baadhi ya nchi za ulaya au nchi wahisani kusitisha misaada na mikopo kwa nchi hiyo(jina kapuni).

Kadri siku zinavyokwenda,viongozi wa Taifa hilo wanaonekana kufanya mambo yasiyoendana na ustaarabu wa dunia ya leo hivyo sidhani kama watavumiliwa maana leo utasikia hili, kesho utasikia lile,mtondogoo lingine mradi ni bandika bandua.

Anyway,labda wamenyimwa maarifa na kutiwa upofu ili wao na chama chao waanguke.

Time will tell.
Haya ndio maombi ya kijinga kuwahi kutokea, wewe utafaidika nini Ikitokea?
 
Huyu mkoloni mweusi ajiandae kubanwa!View attachment 1487237
Tukiacha ulevi tutambana wenyewe...

Kwa sasa acha tulewe kisha tusingizie kupigwa
PossibleDeliriousDunnart-max-1mb.gif
 
Wewe nae unatupigia kelele hapa...Sasa wakikatazwa kwenda huko watakosa Oksijeni Mkuu!! Hebu Punguza ujinga!! Sehemu za kwenda zipo nyingi tu!!!
Ndugu tafakari sana namna nchi hiyo inaendeshwa,ukishakuwa unamtegemea mjomba kuendesha maisha yako jua lazima utakuwa na nasaba na utumwa,kujinasua kwako ni kwenda kujitafutia mahala pako mwenyewe na ujitegemee kweli kweli!
 
Tuliwahi kusema USA ni Nchi ya wajinga

Chukulia mfano Venezuela
USA alijitoa ufahamu wakamtambua mpinzani km kiongozi wa nchi wakamjaza ujinga hadi akaisaliti Nchi yake

Lkn wakashindwa kumtoa madarakani Rais

Leo hii Trump anaomba mazungumzo na maduro Rais wa Venezuela yule waliyekuwa wakimvizia usiku na mchana kumtoa madarakani

Nchi za Africa zijitambue ziachane na usa zishirikiane na Urusi, China, Brazil, Iran na North korea hawa wajinga wa USA wampoteze ushawishi sasa hivi duniani

Wameiangamiza libya imebaki gofu bado wanaleta ujinga wao tena

Zama za USA zimeisha kama hadi Iran imemweka kati atamtisha nani?

Zimbabwe amewekewa vikwazo miaka nenda rudi ila wanadunda tu, USA akajifie mbele kule zama zake zimeisha

kwamba tushirikiane na china, urusi na korea kaskazini? wewe upo sawasawa kweli?
 
Tuliwahi kusema USA ni Nchi ya wajinga

Chukulia mfano Venezuela
USA alijitoa ufahamu wakamtambua mpinzani km kiongozi wa nchi wakamjaza ujinga hadi akaisaliti Nchi yake

Lkn wakashindwa kumtoa madarakani Rais

Leo hii Trump anaomba mazungumzo na maduro Rais wa Venezuela yule waliyekuwa wakimvizia usiku na mchana kumtoa madarakani

Nchi za Africa zijitambue ziachane na usa zishirikiane na Urusi, China, Brazil, Iran na North korea hawa wajinga wa USA wampoteze ushawishi sasa hivi duniani

Wameiangamiza libya imebaki gofu bado wanaleta ujinga wao tena

Zama za USA zimeisha kama hadi Iran imemweka kati atamtisha nani?

Zimbabwe amewekewa vikwazo miaka nenda rudi ila wanadunda tu, USA akajifie mbele kule zama zake zimeisha
Mkuu ulisha wahi tembelea Zimbabwe kabla ya vikwazo na baada ya vikwazo?
 
Kwa yanayoendelea katika Taifa fulani,yanatoa kila sababu kwa Bwana wakubwa wa huu Ulimwengu kuingilia kati na kuchukua hatua.Hatu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na kuwafungia viongozi wa nchi hiyo kutosafiri kwenda Marekani na baadhi ya nchi za ulaya au nchi wahisani kusitisha misaada na mikopo kwa nchi hiyo(jina kapuni).

Kadri siku zinavyokwenda,viongozi wa Taifa hilo wanaonekana kufanya mambo yasiyoendana na ustaarabu wa dunia ya leo hivyo sidhani kama watavumiliwa maana leo utasikia hili, kesho utasikia lile,mtondogoo lingine mradi ni bandika bandua.

Anyway,labda wamenyimwa maarifa na kutiwa upofu ili wao na chama chao waanguke.

Time will tell.
Utasubiri sana kutegemea beberu akukomboe
 
Huyu jamaa katuharibia identity yetu Duniani kama watanzania. ID hii imejengwa kwa gaharama kubwa mno chini ya uongozi wa Mwalimu, sasa mtu mmoja anaachiwa akiufyeka huku watanzania tukimtazama.

Itatu cost sana hii.
 
Kwa yanayoendelea katika Taifa fulani,yanatoa kila sababu kwa Bwana wakubwa wa huu Ulimwengu kuingilia kati na kuchukua hatua.Hatu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na kuwafungia viongozi wa nchi hiyo kutosafiri kwenda Marekani na baadhi ya nchi za ulaya au nchi wahisani kusitisha misaada na mikopo kwa nchi hiyo(jina kapuni).

Kadri siku zinavyokwenda,viongozi wa Taifa hilo wanaonekana kufanya mambo yasiyoendana na ustaarabu wa dunia ya leo hivyo sidhani kama watavumiliwa maana leo utasikia hili, kesho utasikia lile,mtondogoo lingine mradi ni bandika bandua.

Anyway,labda wamenyimwa maarifa na kutiwa upofu ili wao na chama chao waanguke.

Time will tell.
Huu ndio ustaarabu nyumbu wa cdm wautakao.
Huu ndio usasa cdm wanaoutamani.
Wenye akili hawawezi kujidhalilisha ili waende Marekani. Wala hawawezi kuharibu vizazi vyao kisa misaada
Screenshot_20200624-120329.jpg
 
Back
Top Bottom