Wakati wowote kuanzia sasa, viongozi wa nchi fulani wanaweza kuwekea vikwazo vya kusafiri katika nchi za Ulaya na Marekani kama sio kunyimwa misaada

Kwa yanayoendelea katika Taifa fulani,yanatoa kila sababu kwa Bwana wakubwa wa huu Ulimwengu kuingilia kati na kuchukua hatua.Hatu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na kuwafungia viongozi wa nchi hiyo kutosafiri kwenda Marekani na baadhi ya nchi za ulaya au nchi wahisani kusitisha misaada na mikopo kwa nchi hiyo(jina kapuni).

Kadri siku zinavyokwenda,viongozi wa Taifa hilo wanaonekana kufanya mambo yasiyoendana na ustaarabu wa dunia ya leo hivyo sidhani kama watavumiliwa maana leo utasikia hili, kesho utasikia lile,mtondogoo lingine mradi ni bandika bandua.

Anyway,labda wamenyimwa maarifa na kutiwa upofu ili wao na chama chao waanguke.

Time will tell.
Hao viongozi wengi wao hawajafika Kibuta, Maneromango, Kauzeni, Chamgoi, Kishumundu, Ndudu nyikanza, Kartesh, Dongobesh, Bujugo, Mubembe na sehemu nyingine nyingi hapa Tanzania! Wewe unazungumzia kuwakataza huko mbali (USA) si utakuwa umewapunguzia mzigo! Viongozi wetu wanahimizwa watembelee wananchi wasizurule ughaibuni. Kwanza kwenda huko unahitaji kibali cha raisi!
 
Mungu gani wa wauaji?
Unajua kwanini Vikwazo ni adhabu kali sana kwa watawala kuliko nyingine yeyote??

Watawala hufanya uhalifu kwa maslahi yao wakitegemea yanapofanikiwa au wanapoleta machafuko wao na familia zao hukimbilia ulaya na marekani ambako kuko salama.

Ndio maana unaweza kujiuliza kwani wakiwekewa vikwazo itasaidia nini kama sisi wanatuua?
Is the very grave pernishmemt. Ni sawa na kumnyang'anaya askari wakati vita ndio imepamba moto.
Unaongea vitu usivyovijua. Umepotea, nani anakuua? Kuvunja sheria na usaliti ndio vinawahatarisha..... nyie hamtii mamlaka watoto wa uasi....hao mabeberu mnaowakimbilia ndio wauwaji na majizi wasio na haya...kila kukicha wanawaua watu wa asili ya Afrika....hata wakikutana kwako na familia yako..wanauwa...huyo anaepiga watu ktk nchi yetu na kujiita asiyejulikana ni hao hao vibaraka wa mabeberu...Tunza nchi yako ipende, walinde viongozi wako, acha utumwa wa kifikra.... beberu hajawahi kumpenda mnyonge na kamwe hatopenda...kikubwa ni kumzidi nguvu ili aogope...
 
Hahahaa laana iko juu yako na uzao wako
 
Kwa yanayoendelea katika Taifa fulani,yanatoa kila sababu kwa Bwana wakubwa wa huu Ulimwengu kuingilia kati na kuchukua hatua.Hatu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na kuwafungia viongozi wa nchi hiyo kutosafiri kwenda Marekani na baadhi ya nchi za ulaya au nchi wahisani kusitisha misaada na mikopo kwa nchi hiyo(jina kapuni).

Kadri siku zinavyokwenda,viongozi wa Taifa hilo wanaonekana kufanya mambo yasiyoendana na ustaarabu wa dunia ya leo hivyo sidhani kama watavumiliwa maana leo utasikia hili, kesho utasikia lile,mtondogoo lingine mradi ni bandika bandua.

Anyway,labda wamenyimwa maarifa na kutiwa upofu ili wao na chama chao waanguke.

Time will tell.
Ujjinga. Wacha kuendelea kuwa mtumwa wa hao mabeberu wanaowafundisha ushoga. Kila siku unawalamba miguu kwenye maandiko yako. Watanzania tunakudharau sana.
 
Back
Top Bottom