Wakati wa mimi kusema umefika


Enhe, ongea sasa tunakusikiliza
 
Kwa nini husemi?? mpaka jela umeenda mkuu, je ni maandalizi ya move kuingia sokoni?
 
- HA! HA1 HA! HA! HA! mbona mnaaanza kutoka mapovu kabla mwananchi hjasema lililotokea mnajua kumbe kilichotokea ha! ha!

Le Mutuz

akili zako zimebunguliwa xana huko nyuma hukuwa hvo wamekuharib ccm
 
Mkuu mwaga mboga yote na hata maji yakunawa ikiwezekana!

Nakumbuka walisema wewe ni msaliti na majuzi ulikuwa kwenye maongezi!

Mkuu sema bila kuogopa!

Sasa Mbowe na Mnyika tumbo joto!

R.I.P Chacha wangwe!

huko nyuma walikumwagia walikumwagia ile ile sifa
 
Miaka yote umekaa kimya bila kuongea huo unaosema ni ukweli....baada ya kupewa mlungula na mzee Dialo leo unajifanya unajua na utaongea ukweli,SUBIRI HUKUMU YAKO WEWE NA MAGAMBA WENZIO,SHAME ON YOU.
 

Watu wanajisahau sana, wanafikiri pesa ni kila kitu..sometimes tupende kujenga utu na heshima!!
 
Toka kamtishe mkeo huko,we unafikiri movie haileweki?
Kamuulize Mwigamba aliyetaka kuwazuia Mbowe na Slaa kuwa viongozi amefikia wapi!
Naibu msajili?
 
Wakuu mwenye picha ya marehemu Chacha Wangwe atupie
 
Mzee wa mabebz upo?
Nasikia unataka kufanya insta party,count me in,ok?
- Siku ya kifo cha nyani miti yoter hutelezaa U know!! mara ACT, mara Zitto, mara Kitila sasa Deus Mallya duh!!

Le Mutuz
 
Subiri ukikaribia uchanguzi wa mwakani, utavuna hela nyingi kutoka ccm.
 

I'll talk for Ben, he is well educated than you and he has no time with your nonsense
 
kida roo malya, dea weerei neewe, elesa kila kindo. Mkibosho wa wapi mwoga hivyo muda wooote ulikuwa unasubiri nini
 
Nimeingia nione kilichosemwa nimekuta hola!

Upuuzi mtupu!
 
Anyway labda mimi sijaelewa, lakin kichwa cha habari na hakisadiki ulichoandika ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…