Madada kuwen macho wanaume wanajichubua sikuhizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madada kuwen macho wanaume wanajichubua sikuhizi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Aug 26, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,307
  Likes Received: 5,641
  Trophy Points: 280
  Hii ni kwa msaada tu wawale wanaokimbilia wanaume white na kuhisi ni more handsome kuliko black..jamani sikuhizi wanaume wanajichubua muwe makini sana
  huku mikochen kuna visaloon vinawawasha usoni utasema naniino

  sasa usikimbilie kuolewa kisa umemwona mwanaume mweupe weee uliza ametoka kwa mungu ama lah..mtapata shida bora ukimbilie black wako alietoka kwa God kuliko kulia na wengine ili mradi umempenda white...oaneni umuone live kama ni ngozi yake ama katengenezwa usishangae na wewe ukawa unamsindikiza kujichubua saloon

  jamani embu tushukuru mungu kwa ngozi zetu unajua chubua ili iwe nini???wapendwa??

  kuwen na shukran mlichopata....nawatakia Ndoa njema kwa wasiioolewa na wasiiooa
   
 2. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Sampuli za Nyoshi sizifagilii kabisa, tutakuwa tunashindana urembo badala ya kudumisha pendo!!
   
 3. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mume anakuuliza asubuhi "We Belinda Poda yangu umeweka wapi? " Lol:becky:
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hawana kazi ya kufanya hao.....zaidi ya kuuza sura!!!
   
Loading...