Wakati wa kulala unapenda ufanyiwe nini?

Wakati wa kulala unapenda ufanyiwe nini?

Wadau naomba niwachokoze
tena kwa haka kaswali uchwara....
Etii ule muda wa kulala ukifika wewe hupenda mwenzi wako akufanyie kitu
gani hasa,au akutamkie kitu gani ili usingizi wako uwe murua?
Binafsi napenda akinibusu huku akitamka maneno "usiku mwema mpenzi"

Vipi kuhusu wewe rafiki??

baba mungu pamoja na upweke huu ila nina aman na afyanjema nakuomba nilale kama mtoto mdogo amina,
 
Back
Top Bottom