Wakati wa kulala unapenda ufanyiwe nini?

Wakati wa kulala unapenda ufanyiwe nini?

kweli nimeamini wote ni wadogodogo mlochangia hamna hata mmoja anayependa kufanyiwa kitu flani kbla ya kulala.. hata kuambiwa ulale salama dear..

Wameamua kukaa kimya tuuu

Usikute wengine wanalala mzungu wa saba wataambiwa sangapi hahaha
 
........................
.........................
..........................
...........
...............
......
.................
......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
mmmhhh consistency ya hizi mada inazidi kuongezeka tu sijui ndio wkend yenyeweee!!!
 
anikumbatieee vizuuuri halafu aniite kwa jina halafu nikiitika aniambie ulale salama mpeenzi wangu
 
Huwa namwambia naomba tupate japo ki -1 cha kulalia ....
 
Back
Top Bottom