Wakati wa kulala unapenda ufanyiwe nini?

Wakati wa kulala unapenda ufanyiwe nini?

Innocizy

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
1,736
Reaction score
1,056
Wadau naomba niwachokoze tena kwa haka kaswali uchwara.
Etii ule muda wa kulala ukifika wewe hupenda mwenzi wako akufanyie kitu gani hasa,au akutamkie kitu gani ili usingizi wako uwe murua?
Binafsi napenda akinibusu huku akitamka maneno "usiku mwema mpenzi"

Vipi kuhusu wewe rafiki?
 
Wadau naomba niwachokoze tena kwa haka kaswali uchwara....
Etii ule muda wa kulala ukifika wewe hupenda mwenzi wako akufanyie kitu gani hasa,au akutamkie kitu gani ili usingizi wako uwe murua?
Binafsi napenda akinibusu huku akitamka maneno "usiku mwema mpenzi"

Vipi kuhusu wewe rafiki??

Sasa Na Sisi Tunaolala Na Mito Tu Bila Mwenza UNATUACHAJE au UNATUAMBIAJE?
 
aiseee babayangu c c 2naolala wanaume 3 kitanda kimoja ngoja 2pite
 
Back
Top Bottom